Mimi ni mteja mkubwa wa Vodacom nikinunua bundle ya kila mwezi ya Tshs.35000.
Nilinunua bundle ya Tshs.35000 ya GB 10 tarehe 27/11/2019 leo tarehe 30/11/2019 nimepata message kuwa kifurushi changu kimeisha wakati zamani nilikuwa natumia bundle kwa mwezi mzima.
Bado sijaamini macho yangu. Yaani GB 10 nitumie tu kwa muda wa siku tatu badala ya siku 30. Ndugu zangu wa Vodacom kwa mtindo huu mnataka ugomvi na wateja vinginevyo wateja wengi ikiwa pamoja na mimi nitawahama kabisa.
Naombeni mnipe majibu ya kuniridhisha.