Naomba nifahamishwe biashara ya vifaa vya simu

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
1,053
Reaction score
1,304
Wakuu husika na mada naomba mwenye kujua chochote kuhusu biashara tajwa hapo, nimelenga kuifanya kwenye mkusanyiko wa watu,
Naomba kufahamu uendeshwaji wa biashara husika
Karibu mnisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…