Naomba nifahamu kwa wafugaji mnaopatikana morogoro (mjini) naomba nifahamu bei ya vindama vya ngombe na mbuzi

Naomba nifahamu kwa wafugaji mnaopatikana morogoro (mjini) naomba nifahamu bei ya vindama vya ngombe na mbuzi

man of sun

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
329
Reaction score
460
Naomba nifahamu kwa WAUZAJI wa ndama (ngombe na mbuzi) morogoro mnijuze nataka ninunue pesa cash cash cash
 
Masoko unaweza kusema ni ya uhakika yapo Mvomelo ; Mkongeni(J1) na Melela(Ijumaa), huko unaweza kupata bidhaa....

Nimetoka Moro Muda kidogo inawezekana Kihonda Kuna mbuzi za kutosha!
 
Back
Top Bottom