man of sun JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 329 Reaction score 460 Mar 9, 2022 #1 Naomba nifahamu kwa WAUZAJI wa ndama (ngombe na mbuzi) morogoro mnijuze nataka ninunue pesa cash cash cash
Naomba nifahamu kwa WAUZAJI wa ndama (ngombe na mbuzi) morogoro mnijuze nataka ninunue pesa cash cash cash
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Mar 10, 2022 #2 Masoko unaweza kusema ni ya uhakika yapo Mvomelo ; Mkongeni(J1) na Melela(Ijumaa), huko unaweza kupata bidhaa.... Nimetoka Moro Muda kidogo inawezekana Kihonda Kuna mbuzi za kutosha!
Masoko unaweza kusema ni ya uhakika yapo Mvomelo ; Mkongeni(J1) na Melela(Ijumaa), huko unaweza kupata bidhaa.... Nimetoka Moro Muda kidogo inawezekana Kihonda Kuna mbuzi za kutosha!