Bakari China
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 254
- 588
ndiyoUnamaanisha ugali wa unga wa mahindi?
asante kwa muongozo wako, unasaidia sanaHapana hakuna ugali wa mahindi ndugu yangu labda hayo ni makande.. Pengine ulitaka kumaanisha ugali wa unga wa mahindi, ambao hata hivyo upo wa aina mbili 1. Dona huu unga mahindi yake hayajakobolewa na unatajwa kama unga wenye afya zaidi 2. Sembe.. Huu mahindi yake yamekobolewa. Mapishi yake hayatofautiani sana...
Hapana hakuna ugali wa mahindi ndugu yangu labda hayo ni makande.. Pengine ulitaka kumaanisha ugali wa unga wa mahindi, ambao hata hivyo upo wa aina mbili 1. Dona huu unga mahindi yake hayajakobolewa na unatajwa kama unga wenye afya zaidi 2. Sembe.. Huu mahindi yake yamekobolewa. Mapishi yake hayatofautiani sana
MAHITAJI
.Moto (kuni,mkaa, gesi)
.Sufuria/chungu
.Unga wa sembe/dona
.Maji
.Mwiko
.Nyenga/kabari
MAPISHI
Injika chungu/sufuria yako kwenye moto
Weka maji yaache yapate moto kiasi
Weka ungo kidogo kisha ukoroge ushikane vema na maji
Ukishakorogeka ukawa kwenye hatua ya uji acha utokote kwa muda si chini ya dakika 5
Kishapo anza kuongeza unga wako kidogo kidogo huku ukisonga
Unapoanza kuwa mgumu tumia nyenga/kabari kubana sufuria ili usonge vema
Songa kwa kupinduapindua na kuzungusha ukitumia mwiko kwa dakika zisizopungua tano
Ugali tayari . waweza ipua na kuweka kwenye sahani, jani nk ama waweza acha humo humo kulingana na mazingira
Duh mshana jr mtu simple Sana ...swali kama la mzaha ila jamaa umeamua kuelezea kabs...uko fresh mkuu[emoji122]Hapana hakuna ugali wa mahindi ndugu yangu labda hayo ni makande.. Pengine ulitaka kumaanisha ugali wa unga wa mahindi, ambao hata hivyo upo wa aina mbili 1. Dona huu unga mahindi yake hayajakobolewa na unatajwa kama unga wenye afya zaidi 2. Sembe.. Huu mahindi yake yamekobolewa. Mapishi yake hayatofautiani sana
MAHITAJI
.Moto (kuni,mkaa, gesi)
.Sufuria/chungu
.Unga wa sembe/dona
.Maji
.Mwiko
.Nyenga/kabari
MAPISHI
Injika chungu/sufuria yako kwenye moto
Weka maji yaache yapate moto kiasi
Weka ungo kidogo kisha ukoroge ushikane vema na maji
Ukishakorogeka ukawa kwenye hatua ya uji acha utokote kwa muda si chini ya dakika 5
Kishapo anza kuongeza unga wako kidogo kidogo huku ukisonga
Unapoanza kuwa mgumu tumia nyenga/kabari kubana sufuria ili usonge vema
Songa kwa kupinduapindua na kuzungusha ukitumia mwiko kwa dakika zisizopungua tano
Ugali tayari . waweza ipua na kuweka kwenye sahani, jani nk ama waweza acha humo humo kulingana na mazingira
Hapo inategemea na wingi wa watu na aina ya ugali mgumu ama lainiVipimo ni muhimu mkuu mshana.
1---Maji kiasi gani
2---unga kiasi gani
---Unga wa uji kiasi gani kabla ya kuanza kutia unga wa kusongea, kipimo ni muhimu ili mtu asijepika ugali--uji au ugali- jiwe.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] kwenye mizaha huwa kuna mafunzo hata kama si kwa mlengwa basi kwa wengineDuh mshana jr mtu simple Sana ...swali kama la mzaha ila jamaa umeamua kuelezea kabs...uko fresh mkuu[emoji122]
Dah ...sijui kwann ugali wa maziwa unasababisha hiyo hali[emoji38][emoji38]Mimi nashauri tu, mboga ya mchuzi hauta ufurahia ugali wako, tafuta mboga isiyo na mchuzi Mkuu.
Usikose maziwa mtindi/mgando bariiiidi, ukishiba utalala tu [emoji23]
niliwahi kula ugali mara moja tu, pamoja na mchuzi wa nyama (mboga za kizungu)😅 labda mboga za Kitanzania au Kichina zitanifurahisha zaidi mnoMimi nashauri tu, mboga ya mchuzi hauta ufurahia ugali wako, tafuta mboga isiyo na mchuzi Mkuu.
Usikose maziwa mtindi/mgando bariiiidi, ukishiba utalala tu [emoji23]
nitakula peke yangu. bado familia yangu hawajazoea chakula Kitanzania😁Hapo inategemea na wingi wa watu na aina ya ugali mgumu ama laini
baada ya ugali huja maziwa au kinywaji baridi, baada ya kinywaji huja usingizi😁 maisha mazuri ehDah ...sijui kwann ugali wa maziwa unasababisha hiyo hali[emoji38][emoji38]
nitakula peke yangu. bado familia yangu hawajazoea chakula Kitanzania[emoji16]
Noma sana [emoji38][emoji38]baada ya ugali huja maziwa au kinywaji baridi, baada ya kinywaji huja usingizi[emoji16] maisha mazuri eh
mimi ni mchina🙂wewe ni mchina?