mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Sawa mze!business plan competition nyingi sana wanahitaji business plan..
soma terms and condition za shindano.. mara nyingi wanasema kabisa...kama unashiriki umeruhusu documents zako zisomwe na majaji wa shindano.... na hata hao majaji wakiiba idea itakula kwako kama hujaisajili mapema.
ni shindano gani hilo mkuu.. share wajasiamali wenzako tushiriki pia
Sawa mze!
Ni shindano la kampuni ya Total. Competitiln inaitwa Total startupper.
Unaweza ku check na website yao for more info : startupper.total.com
Hahahaa umemkata moto mwenzio.hili limeshaisha muda wake.... nimeshiriki pia.. nilijua kuna linaloendelea now
Hahahaa umemkata moto mwenzio.
Make sure unalinda idea yako kabla yakuiweka kwny hiz competitions nenda cosata watakusaidia kupata hatimiliki ya wazo lakoWasalaam!
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu usalama wa idea ya kibiashara ambayo sijaisajil rasmi kua property yangu kwenye mamlaka husika, naomba anisaidie kunihakikishie usalama in percentage!
Kuna competition ya business proposals (kwa biashara inayo exist au new business idea). Utaratibu ni kwamba participants wote wana submit proposals zao kwenye website ya wenye-shindano. Je, Hosts wa hii web hawaifany business proposal yngu kua subjected to theft?!
Naombeni ufafanuz kabla sijafanya maamuzi ya kushiriki!
Ahsanteni (In advance)
Kuna tangazo liko aired sasaiv clouds...na nmekua nkuliskia kwa wik hii yteanajua kama limeisha.. sababu baada ya deadline kufika ambayo ni last week... wakafunga sehemu za kujaza maswali yao na hata ku upload document zako...
kama unabisha nenda total website now uone kama utajaza chochote kuhusu shindano
Cjakatwa boss...competition ni ya 2018-2019Hahahaa umemkata moto mwenzio.
Poapoa jaribu mkuu Mungu anaweza kuwa upande wako.Cjakatwa boss...competition ni ya 2018-2019
Business proposal yko ikishnda unakua awarded...miongoni mwa awards ni financial support ili ku finance business plan yko iloshnda. So, kjibu swal lako...Nina business plan, sina finance, nilitaka nishirik shndano (so that) nkishnda niwe equiped kutokana na zawad watazotoa. In a nutshell: They are both important, but my businesa plan is the most important if u ask me to order my priorities!Kwani wewe lengo lako ni nini
Ni hiyo business iliyopo kwenye proposal uliyoandika au ni hiyo zawadi inayotolewa na waandaji shindano
Kuweka wapi?!Kama hujaweka business plan unakuwa umeshapoteza Eti?
Kuweka wapi?!
Utashndwa kuwashawish. Wataku judge on what basis kama huja submit proposal wala research?!Kwenye hilo shindano Mm nimeshiriki kila kujaza nafasi ya research na business plan sikuweka sikuwa na knowledge kubwa sana ya hii kitu nikataka kukopy na kupaste za kwenye google ila nikashindwa nikaona niache hivyo hivyo
Kwenye hilo shindano Mm nimeshiriki kila kujaza nafasi ya research na business plan sikuweka sikuwa na knowledge kubwa sana ya hii kitu nikataka kukopy na kupaste za kwenye google ila nikashindwa nikaona niache hivyo hivyo
hili shindano ni mojawapo ya shindano gumu sana africa kwa jinsi linavyoendeshwa kitaalamu..
linataka idea kali sana za biashara ambazo zinatekelezeka..
niligoogle kwanza kuangalia washindi wa nyuma.. nikakutana na business za kufa mtu...
nakumbuka moja idea kubwa ni gifted mom ya dogo mcameroon ambaye alikuwa overall winner wa africa.. mwenyewe nikasema hapa kazi ipo ngoja nishiriki tu nichangamshe kijiwe
Duh kila idea yangu ilikuwa nzuri sana Basi ngoja nikomae haya maeneo ya business plan na research sasa next time nifanye vuzuri