St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Serikali ya CHADEMA haitakuwa Kama ya CCM, tutakuwa na magavana na siyo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya hawatakuwepo ktk serikali yetu na magavana watachaguliwa kwa kura, Rais hatakuwa na madaraka ya ki Dikteta Kama CCMMods naomba msifute uzi huu kama mlivyoufuta ule wa kwanza. Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa. Tuanze na baraza lake la mawaziri.
1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:
4:
5:
6:
Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
Kwa upande wa mawaziri napo?Serikali ya CHADEMA haitakuwa Kama ya CCM, tutakuwa na magavana na siyo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya hawatakuwepo ktk serikali yetu na magavana watachaguliwa kwa kura, Rais hatakuwa na madaraka ya ki Dikteta Kama CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza anzeni mapambano dhidi ya makundi ya ndani halafu ndio muweze kuyafikiria hayo mambo ya uendeshaji wa serikali yenu.Serikali ya CHADEMA haitakuwa Kama ya CCM, tutakuwa na magavana na siyo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya hawatakuwepo ktk serikali yetu na magavana watachaguliwa kwa kura, Rais hatakuwa na madaraka ya ki Dikteta Kama CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mantiki hiyo kutakuwa na uchaguzi mwingine wa magavana baada ya uchaguzi mkuu. Huoni kama mchakato huo utachukua muda mrefu ukizingatia kuwa tutakuwa na haja ya kurekebisha katiba..Serikali ya CHADEMA haitakuwa Kama ya CCM, tutakuwa na magavana na siyo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya hawatakuwepo ktk serikali yetu na magavana watachaguliwa kwa kura, Rais hatakuwa na madaraka ya ki Dikteta Kama CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapanga wewe listMods naomba msifute uzi huu kama mlivyoufuta ule wa kwanza. Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa. Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri.
1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:
4:
5:
6:
Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
Sipangi list mkuu. Nimeomba tujadiliane..Wapanga wewe list
Mawaziri watakuwa sio wabunge, kama ilivyo kwa chama chenu dola.Kwa upande wa mawaziri napo?
Watakuwa Kina nani sasa?? Lengo la uzi huu ni kuwajua japo wawili watatu..
Hayo makundi ni ya kufikirikaKwanza anzeni mapambano dhidi ya makundi ya ndani halafu ndio muweze kuyafikiria hayo mambo ya uendeshaji wa serikali yenu.
Mbowe ana watu wake, huyu Lissu nae fitina yake ya kuwatumia kina Kubenea na Komu ikabuma, ili mradi tu kuna zile siasa za kuchekeana watu wakiwa mbele ya waandishi wa habari na kupigana vijembe watu wakiwa mbali ya kamera.
-Jaji Mkuu peter Kibatala.Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa.
Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri.
1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:
4:
5:
6:
Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
Safi sana mkuu. Vipi kuhusu cabinet?-Jaji Mkuu peter Kibatala.
-Mwnasheria wa serikal John Millya.
--Utamaduni na michezo -Sugu.
-Ulinzi na Usalama- Lema.
- Mambo ya Ndani- Heche( akawanyoshe waliomuua mdogo wake mchana kweupe).
---
RESOURCES NI NYING MNO NDDDANI YA CHADEMA HATUNA VILAKA VYA KUZIBIA AU KIZUGIA, TUNA VYOMBO HASWAAAAA......!!
Nimeedit kule juu mkuu. Ila inaonyesha kuna uwezekano wa kukosa watu wenye ueledi na kuishia kuokotaokota watu ili nafasi zijazwe hali itakayotuletea janga sisi kama taifa..-Jaji Mkuu peter Kibatala.
-Mwnasheria wa serikal John Millya.
--Utamaduni na michezo -Sugu.
-Ulinzi na Usalama- Lema.
- Mambo ya Ndani- Heche( akawanyoshe waliomuua mdogo wake mchana kweupe).
---
RESOURCES NI NYING MNO NDDDANI YA CHADEMA HATUNA VILAKA VYA KUZIBIA AU KIZUGIA, TUNA VYOMBO HASWAAAAA......!!
Meaning................???
Kaka nilikuwa mbioni kukuita tuwasaidie watani zetu. Naona wana Lissu peke yake..Umemsahau Nyalandu katika hiyo listi.
Waliondani ya CDM hawawezi kuongea maneno ya kufikirika. Wanaotoka CDM na kuanika yanayofanyika ndani ya chama hawaongei mawazo ya kufikirika. Bahati mbaya ni kwamba Komu wakati anaongea mipango ya fitina akiwa na Kubenea simu yake ilijirekodi na ujumbe ukaenda kwenye kundi la whatsapp ambalo Mbowe yupo pia. Ndipo mpango wao wenye baraka za Lissu ulipoanikwa hadharani.