Uchaguzi 2020 Naomba nije kivingine kuhusu Tundu Lissu

Tundu Lisu has successfully been the talk of the town.
 
Tundu Lisu has successfully been the talk of the town.
anawawewesha watu flani hawalali usiku wala mchana! nasikia kunaundwa majopo na kamati ili kutuliza kimbunga maana kijiupepo 'kimishaanza kunyanyua manyoya ya kuku..."
 
CV zao na utumishi uliotukuka ndio zitawapa ajira hawatatokana na Wabunge ili kutowadhulumu wapiga kura kutotumikiwa na waliowachagua 😀😀😀
Huoni kuwa baraza la mawaziri itabidi lisubiri marekebisho ya katiba ili liundwe au mtakiuka katiba? Kifupi ni kuwa upinzani kuunda serikali bado sana. Na ndio maana hata mamvi alikuja na watu wake akijua kabisa huko hakuna watendaji .
 
Nimegundua kuwa Kuchagua upinzani kutachelewesha uundaji wa serikali sababu ya kusubiri mabadiliko ya katiba ili waziri asitokane na mbunge. Sasa sijui kama upinzani utakuwa na wabunge wa kutosha kubadili katiba kwa muda huo. Au wataunda ukawa nyingine watoke bungeni?
 
Kwa upande wa mawaziri napo?
Mawaziri watateuliwa na Rais na kuidhinishwa na Bunge, Bunge litakuwa na meno,na litakuwa na nguvu,halitawekwa mfukoni mwa Rais, sasa hivi hatuna Bunge ni hasara tupu, Magufuli ndo Bunge,Ndugai ni Remote iliyoshikwa na Magufuli, anafanya atakavyo.
Wabunge wa CCM ambao ndo wengi ni TV,kila kitu wao hata Kama kina athari kwa Taifa ni Ndiyoooooooooo
Pathetic CCM.
..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Duniani ukose vyote lakini uwe na akili, naona wewe huna akili kabisa.
Makundi yapo CCM, anayemkosoa Magufuli hana kazi na anawekwa pending kupokonywa ubunge, rejea ya Nape na Mwigulu, ni lazima kumsifia Magufuli ili familia yako ile na ndo mlivyo nyie mazezeta mliojazana humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu jingine ni wewe mkuu. Makundi ya CCM huwezi yalinganisha na ya CDM. CCM ipo madarakani na inaelewa uzito wa dhamana ya madaraka. CCM wanazo njia za kuua makundi na mitandao.

CDM ina makundi halafu kibaya zaidi haina madaraka ya nchi nzima, ni bora muwe na makundi halafu magogoni ni yenu kuliko kuwa na makundi ya uhasama wa chini chini mpaka kutoana roho halafu ikulu bado sio yenu.
 
CDM haina makundi yoyote, hayo unayodai ni makundi ni mapandikizi ya serikali haramu ya CCM ili kuua upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi post za namna hii zinachangamsha sana na kuleta matumaini fulani lakini kuna mahali zinachoma kama mtoki

Jr[emoji769]
 
Unavyofikiri roma ilijengwa kwa sku moja au mbili, au miaka mitatu ?? .. ndio maan hatuendelei kwasabab tunataka tuifikie marekani kwa miaka mitatu ...
Maendeleo ni ya muda mrefu, ili mradi wananchi wakubaliane na michakato yake na sio kulazimishwa na mtu mmoja
Kwa mantiki hiyo kutakuwa na uchaguzi mwingine wa magavana baada ya uchaguzi mkuu. Huoni kama mchakato huo utachukua muda mrefu ukizingatia kuwa tutakuwa na haja ya kurekebisha katiba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipangi list mkuu. Nimeomba tujadiliane..
Huwezi jua, kwan katibu mkuu kiongoz aliyeko saiv ulimjua kabla hajateuliwa?? ...
Huwez jua akchukua nchi atatumia mtanzania yeyote mwnyw kipawa sehemu yeyote atakayotaka kumtumia au la anao watu tyr, unadhani hajajipanga ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Magonjwa Mtambuka mbona hii mada wale rafiki zetu siwaoni na inazungumzia serikali yao? Au hawataunda serikali? Waite basi kina Salary Slip na wenzie waje tujadiliane isijetokea Rais akakosa watendaji..
 
Ndio tatizo lenu hlo mzee .... Hv katika uchaguzi uliopta kuna jimbo ambalo(chadema) upnzani hawakusimamisha mgombea ??? .. wale sio watu ...
Fikiria vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww unavyoona mtu kama shoza, anafaa kuwa pale walipo ....
Nashukur kuwa unafahamu kuweka tu mtu yeyote kunaleta majanga MFANO hlo la shoza, muhongo(kaenda shule ila hafai kuwa kiongoz, alikosea kuwekwa pale alipokuwa), kangilugola(mambo na maneno anayoongea yanatanabaisha kuwa uwezo wake na nafasi aliyopewa ni vtu viwil tofauti .... So CCM ndo hawana watu, wameokoteza okoteza tu, kgezo chao kikubwa naona ni kutokuwa na aibu ya kuropoka
Nimeedit kule juu mkuu. Ila inaonyesha kuna uwezekano wa kukosa watu wenye ueledi na kuishia kuokotaokota watu ili nafasi zijazwe hali itakayotuletea janga sisi kama taifa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…