Naomba nijibiwe hili swali

We ushawahi Kufanya hivyo mara ngapi?
 
Siku ya saba sasa umevaa boxa ile ile. Kila
unapotoka kuoga unainusa tena ukijua kabisa
kwamba hali ishakua tete.
Hivi tatizo ni nyotaaaaaa au sabuni za kipande
zimeisha kwenye duka la mangi mtaani kwako?
Tatizo ni boxer moja
 
Mwenyewe ili tatizo unalo nakama hunalo ulisha wai kua na boxa moja umeokoka umeamua useme kwan unejueje kama boxa inanuswa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…