Naomba nijibu haya kuusiana na virusi vya HIV

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Habari wana JF wote.
Naomba mwenye uelewa anisaidie kuniweka wazi katika masuala haya.
  1. Virusi vya UKIMWI vinaishi kwenye damu au maji maji yoyote yanayotoka mwilini kwa aliye athirika?
  2. kama kwenye damu ina maana machozi, mate, maziwa ya mama, mkojo na maji maji ya sehemu za siri hayaambukizi virusi
  3. upi ni ukweli, maumbukizi ya virusi vya ukimwi yanatokea tu kama damu ya aliyeathilika ikingia kwenye mfumo/mtririko wa damu ya asiye athilika? au maji maji ya aliyeathirika yakiingia kwenye mfumo wa maji maji ya asiye athilika?
  4. Je,ni kweli inawezekana wapenzi mmoja akiwa ameathirika na mwingine hajaathirika wanaweza kuishi pamoja na kuendeleza mahusiano yao ya kimapenzi bila aliyeathirika kumwambukiza aliyeathirika? kivip?
  5. kuna uwezekana wa mwanamke aliyeathirika akazaa na mwanaume asiyeathirika bila mwanaume kuathirika na mtoto kuwa salama yaani HIV negative?

Swali la uzushi
lipi bora kufanya mapenzi na aliyeathirika na ukatumia kondomu au kufanya mapenzi na ambaye hujui kama ameathirika au hajaathirika na ukatumia kondumu? kwa nini?
Asante
 
Sura ya 1
UKIMWI (AIDS)-HALI YA MAMBO IKOJE?

Kila mahali watu wanaongelea UKIMWI kama kitu kilicho cha
hatari.Wanasema UKIMWI uko mahali pote duniani. Wengine wanauita pigo;

wengine wanauita kimbunga. Je ni kweli UKIMWI ni mbaya kiasi hicho? Je UKIMWI
ni nini? Katika mwaka wa 1980 hakuna aliyefahamu habari za UKIMWI. Siku hizi zaidi

ya watu milioni arobaini wana UKIMWI au wamekufa kwa ugonjwa huu. Hebu fikiria
hili : Ugonjwa uliokuwa haufahamiki miaka ya 1980 umeishaathiri watu milioni

arobaini baada ya miaka 20 ! Je ugonjwa unaweza kueneaje hivyo kwa haraka ?

Zaidi ya watu milioni tano wamekufa kwa UKIMWI na zaidi ya watoto milioni kumi ni
yatima kutokana na UKIMWI. Ni vigumu kuamini, lakini imetokea, mamilioni ya watu
wanaishi na hofu ya UKIMWI. Ni ugonjwa unaotisha.

Je UKIMWI (AIDS) ni nini ?

UKIMWI ni hatua ya mwisho ya maambukizi yasababishwayo na virus
viitwavyo HIV. Ni ugonjwa unaoambukizwa toka mtu mmoja hadi mwingine. Hii
inamaanisha unaweza kuupata kutoka kwa mtu mwingine. Kinachosababisha

UKIMWI ni virusi vidogo vya HIV, au Ukosefu wa Kinga za Mwili. Virusi hivi ni vidogo
sana kiasi cha kutoonekana kwa maikroskopu(darubini) ya kawaida. Ni kwa njia tu ya
maikroskopu ya umeme tunaweza kuona virusi hivi vya UKIMWI.
Unapopata virusi unakuwa na HIV. Baada ya muda mrefu unapoanza kuumwa kwa
sababu ya HIV tunasema unao UKIMWI. Ndiyo maana tunazungumzia jambo la

HIV/AIDS.

Virusi vinaishi katika seli za mwili. Ni seli zenye akili na ujanja, maana zikiingia
katika mwili wa binadamu hubadilika na kujifananisha na seli za mwili wa binadamu.
Hii hufanya mwili ushindwe kupambana na virusi hivi, na vigumu kuondolewa. Hata

hivyo virusi hivi haviwezi kumudu kuishi nje ya mwili wa binadamu kwa dakika nyingi.
Kwa hiyo wadudu hawa hawawezi kuenezwa kwa njia ya hewa, maji ya kunywa, au
katika nguo, au katika vifaa vya kawaida.

Je Virus vinafanya nini kwetu?

Ndani ya miili yetu kuna mfumo wa kinga ya mwili. Ni mfumo wa seli na organi
nyingi zinazokinga aina mbali mbali za magonjwa na maambukizo. Sehemu muhimu

ya mfumo wa kinga ni seli nyeupe. Seli hizi huzunguka katika mwili muda wote ili
kupambana na magonjwa yanayoingia mwilini. Ni kama jeshi linalotulinda dhidi ya

maadui. Kama ilivyo jeshini, tuna aina mbali mbali za seli. Kundi moja la seli ni kama
wapiganaji wanaotembea kwa miguu wanaopambana na magonjwa yanayotaka
kuingia mwilini. Kundi jingine la seli ni lile la maofisa wanaotoa maagizo ya


mapambano, mawasiliano na maskauti. Wadudu wanapoingia mwilini na kuanza
kukua, maskauti hugundua na kushauri majenerali wa ulinzi wawasiliane na idara ya
mawasiliano ili wapiganaji wa mguu wapambane na wadudu hao. Mara nyingi kinga
hii hufanya kazi nzuri ya kinga dhidi ya maradhi na maambukizi.

Kwa ugonjwa wa UKIMWI HIV/AIDS, hata hivyo ni tofauti. Virusi vyaUKIMWI
hushambulia “makamanda”wa seli nyeupe walio muhimu kwa ulinzi dhidi ya
maambukizo. Wakati idadi ya seli nyeupe inapoisha, hata mwili hupoteza uwezo

wake wa kupambana na magonjwa. Baadaye hubakia seli nyeupe kidogo na
matokeo yake mwili huathiriwa na maambukizi. Mwishowe jeshi lote la ulinzi
hushindwa na hatimaye mtu hufa kwa maambukizi mengi.

Je Ugonjwa ukoje?

Mtu anapopata virusi vya HIV kutoka kwa mtu mwingine, virusi hivi huingia
haraka katika seli kwenye damu na organi za mwili. Lakini virusi hivi havimfanyi mtu

augue haraka. Mtu anapoambukizwa virusi hivi hajui mara moja kuwa anavyo virusi.
Virusi hivi huzaliana na kuongezeka na kuingia katika seli nyingi. Hata hivyo,

mwili hujaribu kupambana na virusi hivi. Nguvu hii ya kukinga mwili huitwa antibodis.
Antibodis hizi ni kama sumu ya kuzuia virusi visiongezeke haraka. Bahati mbaya,

antibodis hizi haziwezi kupambana na virusi vyote kabisa. Virusi hivi huwa
vinaendelea kuzaliana, na kuendelea kushambulia seli nyeupe mwilini. Hivyo kuna


vita wakati wote, mapambano kati ya virusi upande mmoja dhidi ya antibodis na seli
nyeupe.Wakati huo huo, mtu aliyeambukizwa hujisikia vizuri na kujisikia katika hali
ya kawaida kwa muda wa miaka mitano, kumi au hata kumi na mitano. Kipindi hiki

tunakiita “kipindi cha utulivu”maana hakuna anayeweza kumwona mtu na kujua
kama anavyo virusi. Lakini polepole, ndani ya mwili virusi huendelea kukua na

kuongezeka. Antibodis huendelea kupambana na virusi, lakini baada ya muda mfupi
mwili hudhoofika. Wakati huu antibodis huisha nguvu, na virusi hukua haraka, na mtu
huanza kuwa dhaifu.

Virusi viko kama mchwa, au wadudu wanaotoboa miti, wanaoingia kwenye
shina la mti kupitia tundu dogo kiasi kwamba hatuwezi kuona kinachofanywa na
wadudu hao. Mchwa huishi ndani ya mti huu na kuharibu mti huu. Mchwa huweza

kutaga mayai yake katika mti huu, huzaa, na kisha watoto huendelea kula na
kuharibu mti wanapoishi. Hakuna ajuaye kama mchwa wapo kwenye mti au la
maana mti huendelea kuonekana vizuri. Lakini siku moja, kwa ghafla, mti huu wenye

afya nzuri huanguka chini na watu ndipo hushangaa kabisa –kwanini mti kama huu
wenye afya uanguke ? Wanapoukaribia mti huu ndipo wanapotambua kuwa ndani ya
mti pameoza na kuliwa. Hapo ndipo wanapojua kwanini mti ulianguka. Hii inafanana

kabisa na virusi vya UKIMWI. Vinakula polepole sehemu za ndani ya mwili mpaka
hapo, baada ya miaka mingi, mtu huanza kuugua. Tofauti na mti, hata hivyo, mtu
haanguki chini (kufa) ghafla. Bali ugonjwa huongezeka polepole, kama tutakavyoona
hivi punde.

Kabla ya kuongelea ugonjwa wa UKIMWI, lazima tuzungumzie tatizo jingine
kubwa. Wakati wa “kipindi cha utulivu”ambapo virusi vinakuwa vimejificha katika
 
mtu, mtu hujisikia mwenye afya kabisa. Hata hivyo, yeye anaweza kuambukiza mtu
mwingine virusi hivi.

Kwa njia ya kufanya tendo la ndoa, sindano chafu, au kwa njia ya kutoa damu, mtu
mwenye kuonekana kuwa na afya nzuri lakini mwenye kuambukizwa anaweza
kuambukiza wengine virusi vya UKIMWI. Hakuna hata mmoja kati ya hawa

anayeweza kujua kama ameambukizwa, lakini virusi vinajua na vinafurahi kumpata
mtu huyu. Kwa hiyo "Kipindi cha utulivu"ni "kipindi cha hatari". Kipindi hiki kirefu, cha
utulivu, lakini cha hatari, hueleza kwa nini virusi vya HIV vya UKIMWI huenea kwa
kasi kubwa duniani bila ya watu kujua.

Hebu sasa turudi kwenye kuugua ugonjwa wa UKIMWI.

Baada ya kipindi kirefu cha utulivu, antibodis huisha na ndipo virusi huendelea
kuongezeka. Mtu huanza kupata maambukizi madogomadogo kama upele, majipu,
mafua, kikohozi kikali,au marudiorudio ya mafua makali. Wakati mwingine ni ugonjwa

wa kifua kikuu au magonjwa ya ngozi na nerves ziitwazo "shingles". Ni kwa njia ya
kupima damu tu unapoweza kutambua kuwa mtu ameugua UKIMWI. Hatua hii ya

mwanzo huchukua muda wa mwaka mmoja hadi miaka mitatu au minne. Wakati huu
maradhi huongezeka mara kwa mara na huwa vigumu kuyatibu na mwishowe dalili

kamili za UKIMWI hujitokeza.

1. Mtu huanza kupoteza uzito nakujisikia dhaifu.
2. Homa hujitokeza, isiyo ya juu, lakini huja karibu kila siku.
3. Mtu huweza kukohoa kikohozi kinachodumu kwa miezi mingi.
4. Maumivu yatokanayo na vidonda vya mdomoni hujitokeza.
5. Kuharisha huanza na kuendelea pasipo mwisho.

Kupoteza uzito, kutokea kwa homa, kikohozi, vidonda vya mdomoni, na

kuharisha ni dalili maalum za ugonjwa wa UKIMWI.

Hii huweza kuendelea kwa miezi mingi, pengine mwaka mmoja au miaka miwili.

Udhaifu huongezeka na mwishowe kifo hutokea. Kipindi cha ugonjwa wa UKIMWI

tangu kuambukizwa kupitia kipindi cha utulivu hadi kifo, huchukua muda wa miaka
kumi na mitano au zaidi. Siyo kipindi cha furaha. Ni kipindi cha mateso na maumivu

makali na kifo cha polepole. Ndiyo maana watu huita UKIMWI ugonjwa wa hatari.

Maswali ya kufikiria

1. Katika miaka ishirini iliyopita kumetokea nini kuhusu UKIMWI (HIV/AIDS)?
Unaweza kulinganisha UKIMWI na kitu gani?
2. Je UKIMWI (HIV/AIDS) ni nini? Elezea kwa maneno yako mwenyewe.
3. Virusi vya HIV hufanya nini katika mwili wa mtu ?
4. Je mwili wa binadamu hupambanaje na virusi vya UKIMWI ?
5. Kwa nini kipindi cha utulivu ni kipindi cha hatari ?
6. Unaweza kuelezaje jambo hili kwa mtu mwingine?
7. Ugonjwa wa UKIMWI ukoje? Eleza kwa maneno yako.
8. Je ugonjwa wa UKIMWI (HIV/AIDS) huchukua muda gani tangu kuambukizwa
hadi kifo?

Sura ya 2

Kwa nini UKIMWI ni tatizo kubwa kiasi hiki?
Sababu:


1. Ni ugonjwa ambao bado uko juu ya uwezo wetu. Hatuna madawa
yanayoweza kuua virusi na kutibu UKIMWI. Tuna madawa yanayoweza tu

kupunguza nguvu za virusi na kuwawezesha watu walioambukizwa na virusi
kuishi muda mrefu zaidi. Lakini madawa haya ni ya gharama kubwa na ni

vigumu kuyatumia. Kwa hiyo, mara unapoambukizwa na virusi vya UKIMWI
ujue kuwa utakufa katika muda mfupi kutokana na UKIMWI.

2. Utakapoona makundi ya watu huwezi kujua nani aliye na virusi vya UKIMWI
na asiye navyo. Wakati wa kipindi cha utulivu cha miaka kumi ya maradhi, mtu

mwenye UKIMWI huonekana kuwa na afya nzuri. Anaweza kufanya kazi,
kucheza, kufanya mapenzi, na kuishi kwa hali ya kawaida bila kujua kama

anavyo virusi vya UKIMWI. Ni kipimo cha damu tu kinachoweza kutusaidia
kujua kuwa mtu ameishaambukizwa. Lakini ni watu wangapi wenye afya

wanaokwenda kupimwa damu kwa ajili ya kupima UKIMWI?

3. Mtu huyu, hata hivyo, ni hatari. Anaweza kuwaambukiza wengine virusi vya
UKIMWI kwa njia ya tendo la ndoa. Unapashwa kujua kuwa unaweza kupata
UKIMWI toka kwa mtu anayeonekana vizuri kiafya.

4. Bado hatujapata kinga ya ugonjwa huu. Bado tunatumaini tu. Lakini virusi hivi
vinabadirika kila wakati na kuharibu mafanikio ya utafiti juu ya kinga. Ni virusi
vinavyobadilikabadilika na hivyo kukwepa mashambulizi yetu na utafiti wetu.
Je unapataje UKIMWI(AIDS)?

UKIMWI tunauita ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kufanya tendo la ndoa (STD)
kwa sababu huenea kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwa njia ya mahusiano ya
kimapenzi. Siku hizi tunaelewa magonjwa mengi yanayoenea kwa njia ya kufanya

tendo la ndoa na kila ugonjwa wa aina hii huweza kukufanya uugue. Lakini
magonjwa mengi ya aina hii huweza kutibiwa, na kwa matibabu mazuri magonjwa

haya yanatibiwa bila shida. UKIMWI ni ugonjwa pekee wa aina hii usiotibiwa na
unaweza kukuua. Ndiyo maana ugonjwa huu ni tatizo kubwa.

UKIMWI (HIV/AIDS) ni ugonjwa katika magonjwa ya STD kwa sababu virusi
hivi huishi katika sehemu za siri za wanawake na wanaume. Virusi hivi huogelea

katika majimaji (secretions) au ute utokao na ulioko katika sehemu za siri ambapo
majimaji haya huingiliana kwa pande zote mbili wakati wa kujamiiana au kufanya


 
tendo la ndoa. Virusi huweza kutoka kwa mwanaume hadi kwa mwanamke au toka
mwanamke hadi kwa mwanaume wakati wa kujamiiana. Japokuwa virusi vipo katika
sehemu nyingine zenye majimaji kama vile mate na machozi, vipo kwa kiasi kidogo
sana kiasi kwamba huwezi kuambukizwa na mgonjwa wa UKIMWI kutokana na
sehemu hizi.

Virusi huishi pia katika damu, hivyo uaweza kuambukizwa kutokana na damu
ya mgonjwa wa UKIMWI. Bahati nzuri, hospitali nyingi na benki za damu huweza
kupima damu ya mtu anayetaka kutoa msaada wa damu. Kama wanakuta kuwa

mtoa damu ameishaambukizwa, damu hii haiwekwi kwa mgonjwa yeyote. Hivyo,
kupata damu toka mtu mwingine ukiwa kwenye hospitali nzuri siyo tatizo.
Hata hivyo, wanaobadilishana sindano za madawa ya kulevya wako hatarini
kabisa. Sindano huingia katika mishipa ya mtu mmoja, katika mishipa

ya damu. Kama damu yake inavyo virusi, sindano ina kiasi fulani damu iliyodhurika.
Iwapo utatumia sindano hiyo katika veini zako au mishipa yako, unapata virusi vya
UKIMWI . Kutumia sindano kwa ajili ya kutumia madawa ya kulevya na kubadilishana
sindano hizi ni kama kujiua mwenyewe kwa UKIMWI . Itakuchukua muda mrefu kufa
kwa ajili hii, lakini utakufa. Unapashwa uwe mwangalifu.

Jambo hili ni sawa hata kwa sindano za hospitalini zinazotumika mara ya pili
kwa mtu mwingine wakati zilipashwa kutupwa au kusafishwa. Sindano zikitumika hivi,
huweza kuwa njia ya kueneza UKIMWI. Hivyo, usikubali kamwe kupigwa sindano
isiyosafishwa vizuri.

Hii ni sawa pia kwa sindano zinazotumika kutoboa masikio na kufanya urembo,
na pia inahusiana na wembe kali au mikasi. Iwapo vifaa hivi vimegusa damu ya mtu
mwenye UKIMWI na kisha kuchoma, kukwaruza, au kukata sehemu ya mwili wako,
basi utakuwa hatarini- hatari kubwa. Hivyo, tafadhari usitumie kamwe sindano,

wembe, au mikasi iliyotumiwa na mtu mwingine. Hata mswaki wa mtu mwingine
usiutumie maana unaweza kusababisha hatari. Tumia vifaa vyako binafsi.
Mtoto mdogo anaweza kupata virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama yake

iwapo mama ameishaambukizwa. Hata hivyo siyo kila mtoto anayezaliwa na mama
mwenye UKIMWI anakuwa na virusi toka kwa mama yake. Kwa sasa tunayo
madawa yanayoweza kusaidia mtoto asiambukizwe virusi na mama yake. Pamoja na
hayo, bado wapo watoto wanaoambukizwa virusi na mama zao ingawaje tunajitahidi

kuzuia hili. Watoto hawa hufa katika muda mfupi, miaka michache ya maisha yao.

Zaidi ya watoto milioni tano wameishakufa kutoka na UKIMWI, na hili ni pigo kubwa.
Njia za kugusana zisizoambukiza UKIMWI (AIDS)

Njia nyingine nyingine za kugusana, hata hivyo, haziwezi kukuletea virusi vya
UKIMWI. Hapa ni njia zisizoweza kukuletea virusi :
1. Kugusana au kukumbatiana na mtu mwenye virusi.
2. Kula na mtu mwenye virusi vya HIV.
 
3. Huwezi kupata Virusi kwa njia ya nguo, mashuka au nguo za ndani, kukaa
kwenye choo alichotumia mgonjwa wa UKIMWI, au vifaa vingine.
4. Kutokana na chakula au maji ya kunywa.
5. Kutoka mbu au wadudu wengine.

Hata hivyo, kama unatunza mgonjwa mwenye HIV/AIDS (UKIMWI), lazima
ufuate utaratibu na sheria kadhaa. Jizuie kushika kwa mikono mitupu damu au maji
maji yanayotoka kwa mgonjwa mwenye virusi. Vile vile, usiguse vidonda vya

mgonjwa. Kama kuna ulazima wa kugusa vidonda hivi, inabidi uvae mipira (gloves)
ya kinga kama unayo. Kama hauna mipira hii, tumia mifuko ya plastiki. Weka kila
mkono kwenye mifuko hii ya plastiki na kisha safisha damu na badili bandeji au weka

bandeji kwenye kidonda. Mipira au mifuko ya plastiki ni muhimu kwa kukinga
maambukizi. Unapokuwa umemaliza, tupa mipira hii na mifuko hii ya plastiki na
unawe mikono yako.

Dawa ya kawaida ya kuondoa madoa na uchafu kwenye nguo(bleach) huua
virusi vya UKIMWI haraka. Kama utaosha nguo za mgonjwa au matandiko ya kulalia
ya mgonjwa mwenye virusi vya UKIMWI, weka nguo hizo kwenye mchanganyiko wa

dawa ya kuondoa madoa yenye 1% kwa nusu saa. Au kama unapashwa kusafisha
damu au maji maji yatokayo kwa mgonjwa, weka kwenye vidonda kwanza maji
yaliyochanganywa na dawa hii ya kuondoa madoa (solution of bleach).

Kwa nini mamilioni ya watu wanao ugonjwa wa UKIMWI(AIDS)
Hatujui ni lini virusi vya HIV vilitokea duniani. Tunadhani vimekuwepo kwa
muda mrefu, vikiishi katika wanyama jamii ya kima au nyani. Inawezekana wadudu

hawa waliingia katika binadamu miaka themanini iliyopita baada ya virusi kuweza
kuishi katika mwili wa binadamu. Binadamu aliweza kueneza virusi hivi kwa mke
wake au mtu mwingine na pole pole wadudu walianza kuenea kwa watu wengine

kwa njia ya kufanya tendo la ndoa. Hata hivyo, ugonjwa haukuanza kuenea haraka
hadi miaka ya 1970. Baadaye, katika kipindi cha miaka kumi ugonjwa uliweza

kuenea katika maeneo mengi ya dunia, lakini hakuna aliyekuwa na habari juu ya
ugonjwa huu maana ulikuwa katika kipindi cha utulivu, kipindi ambacho mtu huishi na
virusi bila kuwa na dalili zozote za ugonjwa. Hatukujua ugonjwa huu mpaka mwaka

1981, ulipogunduliwa wakati huo huo katika Marekani ya Kaskazini, Afrika, na mikoa
ya Karibeani. Virusi hatukuvijua hadi 1983. Wakati huo, mamilioni ya watu walikuwa
tayari wameambukizwa. Watu wenye virusi hivi wanaishi katika maeneo mengi ya
dunia na virusi vinaenea kwa haraka na kwa kasi kubwa.

UKIMWI (HIV/AIDS) huenea haraka kwa sababu mamilioni ya watu hujihusisha
na kufanya tendo la ndoa au mapenzi na mtu zaidi ya mmoja. Wale wenye marafiki
wengi kimapenzi wako katika hatari kubwa ya kuambukizwa na kuambukiza. Lazima

tukumbuke, hata hivyo, kuwa watu wengi wenye virusi vya HIV hawakufanya
mapenzi na mtu zaidi ya mmoja. Baadhi yao walipata virusi kwa njia ya kupewa
damu yenye virusi hospitalini, baadhi yao walikuwa hawajawahi hata kufanya

mapenzi. Wengine wamepata virusi kutoka kwa wenzi wao katika ndoa( toka mume
au mke wake wa ndoa). Mke anaweza kuambukizwa na mumewe au mume anaweza
kuambukizwa na mkewe iwapo mmoja wao amefanya mapenzi nje ya ndoa na kuleta

Wapo wasemao kuwa UKIMWI ni dhambi. Hii si kweli. UKIMWI ni ugonjwa, ugonjwa
unaosumbua, na hivyo wagonjwa wa UKIMWI wanahitaji msaada. Hata kama
wangepata ugonjwa kwa sababu ya tabia tunayosema ni dhambi, ni tatizo lao, si
tatizo letu. Wajibu wetu ni kuwasaidia kwa sababu Mungu anatutaka tuwajali na
kuwasaidia wanaoumwa hata kama ugonjwa wao ni kutokana na njia tusizopenda.
Maswali ya kufikiria
1. Kwa nini UKIMWI hufanya watu waogope?
2. Kwa nini UKIMWI (HIV/AIDS) tunauita ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya
kujamiiana au kufanya mapenzi.
3. Je ni kwa njia gani virusi vya UKIMWI huweza kuenea kutoka mtu mmoja hadi
mwingine?
4. Ni njia gani nyingine tano au zaidi ugonjwa huu huweza kuenea.
5. Kama unamtunza mgonjwa mwenye virusi vya UKIMWI, utafanya nini
kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI?
6. Je, ni kwa jinsi gani virusi vya UKIMWI vimeenea kwa haraka?
7. Je kila mtu mwenye UKIMWI (HIV/AIDS) ameupata ugonjwa huu kwa njia ya
dhambi ya uzinzi? Toa maelezo ya jibu lako.



 
Sura ya 3
Je nawezaje kujizuia kupata UKIMWI (AIDS)?


Swali hili ni muhimu sana, na linaonekana kuwa na jibu raisi –ni jambo la kufuata
kanuni na sheria, hautapata virusi vya UKIMWI.

1. Subiri mpaka utakapooa au kuolewa ndipo ufanye tendo la ndoa au mapenzi,
na uhakikishe mwenzako atakayekuoa au utakayemuoa hana virusi vya
UKIMWI.
2. Ufanye tendo la ndoa na mwezi(mume au mke) wako tu katika ndoa.
3. Kama umeoa au kuolewa, wote wawili muwe waaminifu wa kutofanya
mapenzi nje ya ndoa.
4. Usitumie na kubadilishana sindano kwa ajili ya madawa ya kulevya. Vilevile,
usitumie sindano zisizosafishwa.
5. Ukihitaji kupewa damu toka mtu mwingine, pata damu hiyo katika hospitali
ambapo kuna vifaa vya kupima damu hiyo ili kuona kama ina virusi vya
UKIMWI au la.
6. Usitumie kamwe mikasi, nyembe (wembe) au vifaa vya aina hii vilivyo vya mtu
mwingine.

Ukitunza kanuni hizi za msingi utajikinga na virusi vya UKIMWI. Hata hivyo, kufuata
kanuni zinazohusu kufanya tendo la ndoa si jambo rahisi. Kwa kweli ni vigumu
kufuata kanuni hizi na inaonekana kuwa vigumu kuzifuata kanuni hizi. Wote tunayo

misukumo mikubwa ya Kufanya mapenzi. Tumeumbwa hivyo na tunapoendelea
kukua hitaji hili huongezeka. Unaendelea kufikiri “rafiki zangu wengi wanafurahia

tendo la ndoa. Kwa nini nisifuate mfano wao?”Swali zuri. Hebu tuliangalie swali hili
kwa undani zaidi.

Kuna njia mbili za kufikiria juu ya kufanya mapenzi na kujua lengo lake.

1. Wengi huamini kuwa tendo la ndoa ni hitaji la miili yetu. Ni jambo la furaha
kufanya mapenzi. Hivyo tunapashwa kufanya tendo la ndoa hitaji linapokuwa
kubwa, hali inaruhusu, na ni tendo lisilomwumiza yeyote. Hii ni hali tunayoiita
“mapenzi yasiyo na uwajibikaji au malengo”(“casual sex”).

2. Watu wengine huamini kuwa tendo la ndoa ni zaidi ya hitaji la mwili. Ni
sehemu muhimu ya maisha mazima ya mtu. Uhusiano wa kimapenzi ni njia ya
kueleza uhusiano wa ndani na karibu wenye upendo wa furaha kwa mtu wa

jinsia tofauti na wewe(mume au mke). Ni kielelezo cha kumegeana nafsi yako
na mtu mwingine- miili, mawazo, hisia, utashi na roho. Watu wanaoamini hivi
huona tendo la ndoa kama tendo maalumu kwa ajili ya watu ambao

wameoana na kukubali kushirikishana maisha yao mazima. Kujihusisha na
mapenzi kwa mtu yeyote bila wajibu au malengo hufanya tendo la ndoa liwe

rahisi maana hakuna nafasi ya kubadilishana maisha mazima na yule
umpendaye.

Kuna matatizo katika sehemu hizi mbili za kufahamu maana ya mapenzi au tendo la
ndoa. Hebu tuagalie kwanza matatizo yatokanayo na kufanya mapenzi bila wajibu na
malengo.

1. Njia hii huweza kusababisha maambukizi mengi ya magonjwa
yanayoambukizwa kwa njia ya kufanya mapenzi, ukiwemo ugonjwa wa
UKIMWI.

2. Katika mapenzi yanayolenga tu furaha bila wajibu, uzuri na maana ya tendo la
ndoa huwa raisi na kukosa thamani. Tendo la ndoa linapashwa kuwa zuri na
la kuvutia katika kushirikishana maisha mazima ya wapendanao wenye jinsia
tofauti. Hata hivyo ukifanya tendo la ndoa na watu wengi au malaya, tendo la
ndoa hutimiza tu hitaji la mwili bila kutimiza hitaji la kubadilishana mawazo,
ukaribu na hisia.

3. Katika mapenzi yasiyo ya kubadilishana maisha mazima, hisia zinakuwa
zimechanganyikana. Hakuna kuaminiana. Mwanaume anapohusiana na
mwanamke kwa muda mfupi na kuhusiana na mwingine, hali hii huleta wivu
na hasira na hatimaye aibu. Tendo la ndoa hupoteza maana ya kuhusiana na
kushikamana na mtu mmoja, maana ni vigumu kuamini marafiki wenye
kutimiza mahitaji ya muda mfupi.

Sasa hebu tuangalie ufahamu unaokazia kuwa tendo la ndoa ni maalumu kwa
ajili ya watu walioko kwenye ndoa. Shida ni kwamba hali hii huitaji
nidhamu(discipline) ya hali ya juu na kujidhibiti (control) mtu mwenyewe.

Inamaanisha kujizuia na tamaa itokanayo na uwepo wa marafiki wengi. Si kila mtu
hufanya mapenzi, ila wale wanaofanya maenzi na watu wengi hushawishi wenzao
kufanya mapenzi kabla ya ndoa. Hivyo, kujizuia kufanya mapenzi dhidi ya tamaa ni
changamoto kubwa, lakini changamoto ambayo mtu anaweza kuishinda akitaka na
kuamua kufanya hivyo.

Je aina mbili hizi za ufahamu juu ya maana ya tendo la ndoa au kufanya
mapenzi zinatokana na nini? Zinatokana na kitu fulani ndani ya mioyo yetu. Zinakua
kulingana na tunavyofikiri juu yetu wenyewe na tunavyofahamu juu ya sisi ni nani
kama watu.

1. Kama tulivyoona, watu wengi hufikiri kuwa tendo la ndoa au mapenzi ni jambo
la kukidhi hitaji la mwili na kulifurahia pale mazingira yanaporuhusu. Watu
hawa hutaja kuwa sisi ni wanyama wenye akili wanaoweza kufikiri na kuwa na

hisia na tamaa. Hawa hufikiri kuwa tunapashwa kuishi kwa kuangalia mahitaji
yetu na kujali tamaa zetu kimsingi. Hawa hufikiri kuwa “mwili ni mwili wangu
na nina uhuru wa kufanya chochote kulingana na ninavyotaka. Hebu tufurahie
maisha sasa hivi na leo na tusijali litakalotokea baadaye”
 
2. Wale wanaofikiri kuwa tendo la ndoa ni sehemu ya maisha yetu yote huamini
tofauti. Wao huamini kuwa watu wameumbwa na Mungu na kuwa tuna roho
na mawazo, hisia na tamaa. Kwa kuwa tumeumbwa na Mungu tunapashwa
kuwajibika mbele za Mungu juu ya jinsi tunavyotumia miili yetu, akili, na roho

zetu. Hawa hukazia kuwa lazima tuishi kwa kujali wengine na Mungu pia tena
zaidi ya jinsi tunavyojali tamaa zetu.

Jambo zima la tendo la ndoa au mapenzi na jinsi tunavyopashwa kuishi na kutenda
ni swali muhimu. Linahitaji kufikiri sana na kufanya uchunguzi na kusoma sana.
Ukifikiri na kuamua kuwa wewe ni mnyama tu mwenye mwili na akili utajihusisha bila
shaka na mapenzi ya

Kutimiza furaha ya muda mfupi kwa wapenzi wengi. Lakini ukifikiri kuwa Mungu
amekuumba kwa kukupa mwili, akili, na roho utakazia kuwa tendo la ndoa ni kwa ajili
ya maisha ya ndoa. Ni muhimu kwa hiyo, kujua kuwa tabia zetu hutokana na jinsi

tunavyoamini na kujua habari juu yetu. Tunayoyaamini hutokana na maamuzi
tunayoyafanya kwa kujua au kutokujua juu ya dunia, sisi wenyewe, na Mungu.
Sote tunapenda kuishi maisha mazuri na yenye furaha, amani, na yenye

kuridhisha. Ili kufanikiwa tunapashwa kufikiria vema juu ya imani zetu za msingi ili
kuwa na maamuzi mazuri juu ya maisha na tabia zetu. Ufahamu juu ya mapenzi au
kujamiiana na juu ya sisi ni nani ni maswali muhimu. Bahati mbaya wengi hatujiulizi

maswali haya. Hatujiulizi sisi ni nani na ni wapi tuendapo, na kuwa dunia ina maana
gani kwa ujumla. Tunaishi siku moja na kujiweka sawa kulingana na yatokeayo katika
siku moja.

Tatizo lililopo ni kwamba tunapashwa kufanya maamuzi mengi juu ya tabia
zetu. Moja ya maswali haya ni kuhusu kufanya mapenzi. Je nijihusishe na mapenzi
sasa hivi au nisubiri? Kama hatujui sisi ni nani, hatuwezi kujibu swali hili muhimu.
Matokeo yake ni kufanya maamuzi mabaya. Matokeo mabaya ya uamuzi mbaya ni
hatari ya kuharibu maisha yetu yote. Katika sura inayofuata tutaangalia swali muhimu
kuhusu sisi ni nani.

Maswali ya kufikiria

1. Ni kwa jinsi gani kanuni za msingi zilizotolewa hapo juu hutusaidia kuweza
kujikinga na maradhi ya UKIMWI?
2. Je, ni kwa nini ni vigumu kufuata kanuni hizi, hasa kanuni zinazohusu
mapenzi na tendo la ndoa.
3. Je unasikia rafiki zako wakisema nini juu ya mapenzi na tabia kuhusiana na
ufanyaji wa mapenzi au tendo la ndoa.

4. Je, wewe unafikiri nini juu ya yanayosemwa na marafiki zako.
5. Je, ni faida zipi na hasara zipi za

- Mapenzi yanayojali tu mapenzi ya kukidhi furaha ya muda mfupi isiyo na
malengo ya uwajibikaji kwa mwenzako (casual sex) ?

- Tendo la ndoa kuwepo kwa ajili ya walioko kwenye ndoa ?
6. Kwa nini ni muhimu kufikiria juu ya sisi ni akina nani ?
7. Je, hili linaweza kukusaidiaje kuamua juu ya tabia yako katika mambo
yahusuyo mapenzi.
 
Hii elimu ya ukimwi kila kuchwao inatolewa lakini maswali na majibu ni tofauti mfano; jamaa kauliza mate yanaweza ambukiza vvu,,,? Ni swali namba nne kama sijakosea,
kuna gazeti moja nilisoma kwamba kuna kifaa kimegunduliwa kwa kupimia ukimwi kwa njia ya mate,,hapo hapo tunaambiwa hakuna vvu wa kuweza kuambukiza vvu kwenye mate,,,, hapo njia panda kabisaaa!
 
Bwana kichwa Ngumu, nami nitakujibu swali lako kama ifuatavyo:

Ndiyo inawezekana mmoja akiwa ameathirika wakaishi pamoja na amabaye hajaathirika bila kumwambukiza kwa sababu HIV si kitu cha kuambukizana, na hili lipo mitaani wala siyo la kuuliza ila ukiuliza wanasayansi wanaoshikiria dhana hii HIV kusababisha AIDS watakuambia habari wanazozijuwa wao ila ukweli ni kuwa HIV huwezi kumwambukiza mwingine kwa namna yeyote ile.
  1. Je,ni kweli inawezekana wapenzi mmoja akiwa ameathirika na mwingine hajaathirika wanaweza kuishi pamoja na kuendeleza mahusiano yao ya kimapenzi bila aliyeathirika kumwambukiza aliyeathirika? kivip?


Haya mengine yote yanajibika kwa aya hizi hapa chini za kisayansi zinazoeleza kwanini HIV haina uwezo wa kusababisha AIDS na baada ya kumaliza kuzisoma utakuwa umepata mwanga sasa kwanini unaona kuna wapenzi wanaishi mmoja kaathirika na mwingine hajaathirika.


10 Scientific Reasons Why HIV Cannot Cause AIDS:
For anyone convinced that HIV has been isolated.


1. HIV is neutralized by antibody immunity:
When a person tests "positive" to HIV, it means they carry antibodies to the virus. Which means that they have immunity. This is clear from the fact that there is so little virus to be found in HIV antibody positive people.* The antibodies have done their job and the virus is well under control. There are no known viruses that cause illness in every case only long after antibodies appear, which is how AIDS is defined.

One has to question why 12 years and billions of dollars have been spent developing a vaccine against HIV when the best vaccine possible already exists when a person tests positive.



2. HIV does not kill the T cells it infects:
HIV can only kill T cells under rare laboratory conditions. In fact, HIV researchers use T cells to grow the virus because T cells live quite compatibly with HIV.

3. HIV does not infect enough T cells to cause AIDS.

HIV never infects more than 1 out of 1000 T cells; commonly just 1 out of 10,000 T cells.* People replace 5% of their T cells per day. Simple math shows that HIV cannot infect enough T cells to cause them to die off and bring down the whole immune system. Even supporters of the HIV/AIDS theory admit that this low level of T cell infection is a challenge to explain.

* The recent invention of "viral load" testing is an attempt to explain away the fact that almost no sign of HIV can be found by standard measurements. Viral load tests do not measure viable virus and have not been approved by the FDA to diagnose HIV infection.

4. HIV has no AIDS causing gene:

HIV has no specific gene or unique reason to cause AIDS. All retroviruses have only 3 major genes, GAG, ENV and POL and only 6 minor genes. Because the genes and genetic sequences are so limited in these simple organisms, they need all their genes to replicate. HIV is almost identical to all other retroviruses genetically. There are 50 to 100 different retroviruses that can be found in every healthy human body. All have been brought under control by antibody response.

HIV behaves no differently than any of these others. If none of these other retroviruses cause AIDS, why should HIV? And vice versa, if HIV causes AIDS, why don't all the rest? So there is no genetic reason why HIV would cause AIDS.

5. There is no such thing as a "slow virus":
HIV is claimed to take 10 to 20 years (the "latency period") after infection to cause AIDS. The only way to explain this is to give HIV magical abilities to reactivate, mutate, migrate and hibernate. These slow virus hypotheses were devised by scientists who used them to buy time when their viruses failed to perform.

The slow virus proponents point to examples like the herpes viruses that smolder and hide and then reemerge in persons when they have suppressed immunity and cannot generate a sufficient defense. These differ greatly from HIV because large amounts of active virus can be found causing specific symptoms.

By contrast, a slow virus is an invention credited with the ability to cause disease only years after infection - termed the latency period - in previously healthy persons, regardless of their state of immunity. Such a concept allows scientists to blame a long-neutralized virus for any disease that appears decades after infection. HIV is inactive, then is said to cause 30 different diseases 10 years later. None of which are specific to HIV itself.

6. HIV is not a new virus, so it could not cause a new epidemic:
AIDS cases went from almost none in 1980 to a reported half a million in North America alone by 1995. Therefore, scientists claim HIV must be a new virus or we would have had an epidemic years or centuries ago.

However, this claim does not stand up to the principals of Farr's Law. Farr's Law asserts that new infections spread exponentially through the population. HIV has been reported at more or less 1 million infected in the USA each year since they had a test for it in 1984. So it cannot be a new virus.

7. HIV fails Koch's postulates:
The universal test used by scientists to determine if a disease is truly being caused by an infection was designed over one hundred years ago by Robert Koch.

Koch's postulates state:


The organism:


  1. must be found in all cases of the disease.
  2. must be isolated from the host and grown in pure culture.
  3. must cause the same disease when injected into a new, healthy host.
  4. must be found growing again in the newly diseased host.

Here is how HIV does on this test:

1. The germ must be found in all cases of the diseases. FAILS.


  • 10 to 20% of AIDS patients have no HIV at all.
  • Only tiny amounts of HIV, usually dormant, can be found in any AIDS patient.

2. The germ must be isolated from the host and grown in pure culture. PASSES - but only on a technicality.


  • Huge amounts of cell tissue are needed to find HIV.
  • HIV needs a chemically induced process to reactivate.
  • By contrast, large amounts of active virus can be found with other viruses.

3. The germ must cause the same disease when injected into a new, healthy host. FAILS - hands down.


  • HIV does not cause AIDS in test animals like chimpanzees.
  • human health care workers accidentally infected with HIV rarely get AIDS unless they use recreational drugs ... or AZT.

4. The germ must be found growing again in the newly diseased host. FAILS - for not passing postulate 3.


HIV fails this test.
HIV scientists claim that Koch's postulates are old and out of date with modern science. But they have stood the test of time. Disease hypotheses that ignored Koch's postulates have been a failure. The infectious theories of scurvy, pellagra, beriberi, SMON and virus/cancer research have all ignored Koch's postulates and all have been a dismal failure. And now HIV/AIDS?



8. AIDS has remained in the original risk groups for over 15 years:
If a disease does not spread it must be caused by something non-infectious. The US CDC reports (1997) confirm that AIDS is not spreading into the general population.

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="colspan: 2"] AIDS cases by risk group (US):[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Admitted gay males[/TD]
[TD] 54%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Admitted IV drug users [/TD]
[TD] 32%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Hemophiliacs [/TD]
[TD] 1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Transfusion recipients [/TD]
[TD] 1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Claimed heterosexual contact[/TD]
[TD] 9%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Pediatric [/TD]
[TD] 1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Total:[/TD]
[TD] 97%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

If AIDS is truly caused by a virus AIDS patients not in a risk group should be growing above an estimated 10% as the disease spreads.


Note that the US army has found that when testing recruits HIV positive results were divided equally between men (50%) and women (50%). Yet 85% of AIDS cases in the US are male.


Note too that in the US men use over 80% of all hard drugs. Among women with AIDS 60% (admit they) use hard drugs.



9. International comparisons of AIDS differ greatly:
A germ related disease would effect the population in the same way around the world. An outbreak of cholera in India and Honduras would be much the same. But AIDS is totally different in the USA or western industrialized countries and Africa.

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
USA
[/TD]
[TD]
AFRICA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Aids by sexual percentage
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
85% male
[/TD]
[TD]
50% male
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
15% female
[/TD]
[TD]
50% female
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
AIDS among risk groups
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
At least 90%
[/TD]
[TD]
No risk group
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
risk groups
[/TD]
[TD]
(at random)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
AIDS diseases caused by microbes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
62%
[/TD]
[TD]
90%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Estimated HIV Infections
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
1 million
[/TD]
[TD]
14 million
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
Official documented cases of AIDS (1995/96)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
513,486
[/TD]
[TD]
442,735
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

AIDS in Africa should be 14 times higher than in the US. Instead, people with HIV in the US develop AIDS 10 to 20 times faster than in Africa. This means that whereas the latency period in the US is predicted at 10 -15 years, in Africa it is at least 100 to 150 years!



10. AIDS occurs without HIV Infection and most people with HIV never develop AIDS:
The evidence for the HIV/AIDS hypothesis is based solely on correlation. Because the virus is found in most AIDS patients, it is thought to cause AIDS. But the logic of that assumption is flawed because CORRELATION DOES NOT PROVE CAUSATION.

The common presence of HIV in AIDS patients is no more proof that HIV causes AIDS than the presence of birds on power lines is proof that birds cause power failures. So, if HIV and AIDS are only correlated, we should find AIDS without HIV and healthy people who have HIV and never get AIDS. That is exactly what is happening.


  1. In Africa studies have shown over 65% of AIDS patients are not HIV positive. In Africa a positive HIV antibody test result is not necessary for reporting AIDS cases; prolonged symptoms are enough.


    4621 cases of AIDS without HIV were found in the US Center for Disease Control (CDC) reports up to 1993. And the number could be much larger but the official definition of AIDS is designed to eliminate AIDS cases without HIV.


    AIDS is distinguished from virtually every other disease in history by the fact that it has no constant specific symptoms. AIDS is an umbrella term for 29 old diseases and one non-disease (a T4 cell count of less than 200/ul of blood) when a person has an HIV-positive antibody test result. The official CDC definition of AIDS excludes HIV-negative AIDS by definition.


    How the CDC's AIDS definition works:
    • Kaposi's Sarcoma + HIV = AIDS
    • Kaposi's Sarcoma - HIV = Kaposi's Sarcoma
    • Pneumonia + HIV = AIDS
    • Pneumonia - HIV = Pneumonia
    • Dementia + HIV = AIDS
    • Dementia - HIV = Dementia
    and so on...

    • <200 T4 cell count + HIV = AIDS
    • <200 T4 cell count - HIV = no disease
    There is no disease that is only caused by HIV. HIV is said to cause 29 old diseases when it is present. When it is not, the original causes of these diseases are responsible for them.


    The official definition of AIDS creates a 100% correlation between the virus and AIDS. This "correlation" is not objective or scientific, but is artificial and deceptively self-fulfilling.


    Estimated total HIV infected worldwide: 28,000,000 ?
    Total of reported AIDS cases worldwide: 1,400,000
    95% percent of people with HIV do not have AIDS.



Adapted from the video HIV=AIDS: Fact or Fraud?

Note: The statistics quoted may not be the most up to date.



Hapa chini kuna video ya mwanasayansi mmoja nguli sana duniani, i-download uisikilize taratibu.

[video=youtube_share;pB8g0b-FkW0]http://youtu.be/pB8g0b-FkW0[/video]




Na hapa chini kuna video nyingine ya aliyegunduwa HIV/AIDS akisema:

I CREATED AIDS to DELIBERATELY DEPOPULATE HUMANITY - Dr Robert Gallo

AIDS was deliberately created to deliberately depopulation development of humanity - created at Fort Dietrick through US Bioweapons development.

Hii hapa chini msikilize:
[video=youtube_share;HgiMqgjS-zM]http://youtu.be/HgiMqgjS-zM[/video]


 


Mkuu ni kweli kabisa unachosema si tu katika mate hata katika mkojo sasa watu wanaweza detect virusi vya UKIMWI, na hii hamaniishi kuwa mkojo na mate waweza ambukiza virusi kwa maana ni vichache kwa idadi ya kufikia infectious dose kuna mtu aliwahi sema ili uweze kuambukizwa kwa mate inabidi uwe umekunywa karibu pipa la mate kwa hesabu za haraka haraka.....so kudetect HIV ni suala lingine na kuamabukiza ni suala lingine, hii ni technology tu kuongeza sensitivity na specificity ya kipima Ukimwi..huwezi jua uko mbeleni pakawepo na technology labda toka hata ktk shina la nywele tukawa tunaweza gundua kirusi
 


Mkuu kiukweli kazi bado tunayo naomba usikwazike kwa maswali yangu hapo juu nimesoma mzizi mkavu anasema baada ya kirusi kuingia mwilini kuna huanza kuzaliana na kushambulia askari wa mwili

je hao wanaopatikana kwenye mate hawawezi zaliana kwenye mate,,?

Na ni idadi gani wanatosha kuleta maambukizi,,?

Kama ni mgumu bora iwe ivyo
kwa sababu mate na vvu huwa majibu yanapishana kwa kiasi kikubwa sana.
 

Mkuu nashukuru sana kwa swali na samahani sikuingia humu kwa muda muafaka, labda nijibu maswali yako chini kwa ufupi tuu na sijui kama nitakata kiu na ukiwa na maswali tutazidi kuliongea.

je hao wanaopatikana kwenye mate hawawezi zaliana kwenye mate,,?

Ni kweli hao amabao wapo katika mate ni ngumu kabisa kuzaliana kwa maana inasemekana kuna kemikali(the neutralising effects of enzymes (SLPI)) katika mate inayowfaanya wasiwe active na kirusi kubaki katika hali ya inactive form(particle) badala ya kuwa katika hali amabayo ni infectious na kirusi katika form ya particle hakiwezi kuleta madhara mpaka kipate hali inayoweza kukirutubisha na ukiangalia aslimia kubwa ya mmengenyo wa chakula una kemikali kwa ajili ya kumeng`enya chakula kwa iyo kirusi huwa hakina nafasi ila angalizo kama una vidonda na michubuko katika eneo la mdomo asilimia hatarishi(risk) ipo tu kama kawaida kwa maana anaweza kuaccess njia ya damu na kupata eneo leneye rutuba.

Na ni idadi gani wanatosha kuleta maambukizi,,?

Kwa kweli hapa majibu ya sayansi yanapishana sana katika hili kutona na maeneo(population and ethinicity) na haina ya virusi (HIV subtypes) kuna ripoti zimeonesha 20000-40000 unit particles, nyingine zinasema 1-10unit particles za virusi na hizi nyingi zimefanya katika nchi zingine na nchi chache za africa, kwa hiyo data sio vizuri kuwa generalized mkuu ila kwa kifupi Mate ni ngumu kuambukiza virusi UKIMWI ikiwa hauana michubuko katika midomo kama humuamini na hujiamini hamana ni bora kujiepusha...kumbuka kupiga mswaki, kula pipi kali(AKA pipi kifua) na vitu vinavyofanania huongeza risk ya kupata michubuko na mengine mengi Mkuu Mizi mkavu ameshayaongea yote hapo juu

Kwa general knowledge ya UKIMWI waweza pitia hii link HIV Transmission (lecture 9) flashcards | Quizlet
 
Kuna kipimo kikubwa zaidi ya Eliza test
 
Jamani naomba kuuliza swali je kama mtu umepema Eliza test ukaambiwa upo Negative but ukiangalia ulimi na kuchoma choma kwa mbali na vipele vyekundu, mafuwa hayakati
Kukeleketwa na koo mara kuwashwa washwa mwilini na pembeni ya mdomo
Je inaweza kuwa tatizo gani
 
Una ukimwi mkuu,kula vizuri ,fanya mazoezi,acha stress utapona tu iyo sio HIV
 
Mkuu izo ni dalili za magonjwa mengi sana fika karibu na kituo cha afya au hospital kubwa uonane na daktari, elisa ni kipimo kinachopima antibody za kinyemelea, ila waweza pima kipimo icho kingine kinaitwa western blot icho kinapima dna protein ya kinyemelea hata kabla mwili haujafika uwezo wa kutengeneza antibody ya kuweza kupimwa kwa elisa-eliza
 
Asante mkuu Kwa ushauri wako nitaenda juma tatu alafu nitatowa jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…