lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Naomba kujua zaidi ya nijuavyo maana ya kitu VETTING,naomba nijue zaidi kama vettingi inatoa majibu sahihi kwa Tanzania.
Wanasemaga vetting ni kumchunguza mtu kwa ajili ya kuajiliwa kushika nafasi fulani nyeti,serikalini au sehemu nyingine muhimu,ili kujua kama ni mtu safi na anayefaa kuhudumia sehemu hiyo.Sina uhakika na Definition yangu ,naomba wataalam mnisahihishe.
Hata hivyo najiuliza kama kweli vetting inaweza kutoa majibu yanayotakiwa hususan kwa hapa Tanzania.
Kwa mfano kama watu au mtu anayesimamia,au anayefanya veting kwa mtu anayetakiwa ana chuki binafsi na huyo anayefanyiwa, je? anaweza akamtendea haki kwa kutoa taarifa sahihi?,je kwa mfano kama mtu anayetakiwa ni mwanachama wa chama cha upinzani kwa hapa Tanzania lakini ana sifa stahiki zinazotakiwa,wanweza wakakubali kumpitisha atumikie nafasi anayokusudiwa kupewa?kama ni ajira fulani je wakuu wote wa kazi wanaweza kutoa taarifa sahihi kwa baadhi ya walio chini yao ambao wanatakiwa kwenda kushika nafasi fulani? kama mkuu wako wa kazi ana chuki binafsi na wewe au ana mlengo tofauti na wewe,atatoa ushirikiano kwa wafanya vetting juu ya junior wake mwenye bifu naye? au mlengo tofauti?
Je hakuna njia nyingine ya kumpata anayetakiwa zaidi ya vetting,vetting ni njia sahihi ?