Kwa kifupi tu ni kwamba, ina options! Unaweza kuendesha manually au automatically.
Automatically ni kama gari ndogo japo kuna vitu vichache vinaongezeka.
Manually, kuna knob ipo kwenye shifter ambayo utai'rotate either kwenda kwenye D (drive), R (reverse) na N (neutral) kulingana na unachohitaji muda huo.
Ukirotate kwenda D, gear utazipanga na kuzipangua mwenyewe kwa mfumo wa kuvuta shifter juu kwa kwa kila gear kwa kidole mpaka gear ziishe na kupangua unapress down hiyo shifter kwa kidole.