Naomba nijuzwe matumizi ya hii kwenye gari

Mjamaa86

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
667
Reaction score
689
Wakuu kuna hii button IPO kwa upande wa chini pembeni kidogo ya steering, matumizi yake ni yapi tafadhali..

 
Kushusha na kupandisha kale ka antenna kadogo kanakuwa na kataa kwa juu. Kanakuwaga mbele ya gari kwa kushoto

Ukiweka auto kanakuwa kanapanda na kushuka ukiwasha na kuzima gari kenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…