Tunapozungumzia afya hatumaanishi magonjwa tu peke yake, bali hata muonekano wa ngozi, uso na mwili kwa ujumla. Nataka kuboresha muonekano na afya ya ngozi, mdomo na mwili wako kwa kukuletea vipodozi, elimu na ushauri juu ya afya ya muonekano wako na mvuto wako. Kama upo busy na kazi au shughuli nyingine nitakuletea hadi nyumbani au ofisini kwako.
Ni vile vilivyobora kabisa na salama, vilivyosajiliwa na kuruhusiwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania.Nitakuletea chochote na sehemu yoyote utakayotaka, Dar es salaam au nje ya Dar es salaam.
Karibu ujipatie Lotion, perfume, deodorant, mouthwash, cream, sabuni, aftershave, dawa za Mba, Fangasi, Makovu, Vipele, Harufu mbaya mdomoni na mwilini na kadhalika.
Kama umetafuta kipodozi muda mrefu ukakikosa basi niagize mimi nitakutafutia na kukuletea.
Karibu sana upendeze na kung'aa zaidi. Nafanya kazi siku zote na muda wote.
Mawasiliano : 0659528724 ; 078408284.
Karibuni sana!!!