Naomba nikusaidie please

Naomba nikusaidie please

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Kama umeomba chuo na hujui kama umechaguliwa wapi na program gani nipo tayari kukusaidia jibu, nitumie Form 4 index number. your first name and surname mwaka uliomaliza. pia kwa majibu ya haraka unaweza kunitumia kwenye my phone number :
0717501557
0688501557
au kwenye private message.
 
mm tatizo langu nilikosea kujaza fom sasa natakiwa nijaze tena ile fom ya aplication.. sasa nitawezaje kutumia ile vocha niliokosea..
 
kama ulimaliza process zote haitafaa tena.kwani vipi muda wa kuomba bado upo?
 
Kwasisi ambao hatujachaguliwa bado je kunauwezekano wa kukosa kabisa na kama tukikosa ndo tunasubiri kuaply mwakani ama tunafanyaje.!
 
Kama umeomba chuo na hujui kama umechaguliwa wapi na program gani nipo tayari kukusaidia jibu, nitumie Form 4 index number. your first name and surname mwaka uliomaliza. pia kwa majibu ya haraka unaweza kunitumia kwenye my phone number :
0717501557
0688501557
au kwenye private message.

Hongera wote mliopata chuo na wale waliokosa wasikate tamaa jaribuni tena mwakani, Na zoezi langu linaishia leo j.pili saa 9:30 alasiri
 
Kama umeomba chuo na hujui kama umechaguliwa wapi na program gani nipo tayari kukusaidia jibu, nitumie Form 4 index number. your first name and surname mwaka uliomaliza. pia kwa majibu ya haraka unaweza kunitumia kwenye my phone number :
0717501557
0688501557
au kwenye private message.

Nisaidie ndugu, S0348/0089, MWAKA 2004, YOHANA PETER MKANKULE
 
Back
Top Bottom