Mapishi ya cake kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari inaandaliwje bila ngano nyeupe na sukari?
Nisaidieni mwenzenu napenda bites na cake sana lakini nashindwa kutengeneza maana nina sukari ya juu sana inanishika mara kwa mara
asanteni wadau au mr. Jamii chef
Ingredients karibu zote zinazotumika kwenye mapishi ya cake si rafiki kwa mgonjwa wa kisukari. Labda utumie unga wa atta, usiweke sukari, blueband nayo mmh(ingawa zipo magarine ambazo ni cholesterol free)...sijui utakuwa unapika nini hapo