Naomba nisaidieni

Naomba nisaidieni

vampire123

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2016
Posts
1,310
Reaction score
865
habari zenu..
samahani mimi ni mvulana wa miaka 19 ninatatizo tangu nibalehe sijawahi kumtamani mwanamke, ila nina feeling ya kuwafanya ma gay but mm iko kitu sikipendi coz namwogopa sana mungu ukiangalia nishapata vishawishi vingi vya hao ma gay lakn kwa hofu ya mungu sijawahi kutenda kitendo kichafu kama hicho. naombeni msaada sijui nifanye nn nateseka sana.
Sina kabisa feeling(mzuka) na msichana.
 
fanya sana ibada itakusaidia na pia jitaidi kujiepusha na makundi vijana unahisi wanatabia iyo
 
vampire endelea kunywa damu tu mademu wanaweza kuharibu future yako

umri kama wako ni umri wa nyeto tu sio mademu namini mimi
 
Back
Top Bottom