Naomba nisaidieni!

Naomba nisaidieni!

Allymisi

Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Habari ndugu! Kama kuna mtu ana jua namna ya kupata free download ya PDF AU ADOBE READER FOR MOBILE PHONE Naomba maelekezo.Simu yangu ni Orignal NOKIA 2700 CLASSIC, Nashindwa kusoma files zinazohitaji software hizo na nina shida nayo sana kuna materials yangu muhm sana ya kishule! NATANGULIZA SHUKRAN ZA DHATI KWENU WAUNGWANA!
 
Google and type pdf reader for nokia.zipo nyingi tu.then unatumia nokia phone manager kuinstall.
 
Thax kaka nimekusoma ila upo short sana lakini kuhusu nokia manager umeniacha kidogo na siku moja nilifanikiwa kudownload moja ila kila nikiifungua naambiwa unformat file niweke sawa namna ya kuinstall my dear brother! Please!
 
Duuuh!!! Kaka hiyo simu hai support adobe reader maana haipo katika series ya symbian platform i mean file format like sis.sisx application ya aina hiyo huwezi kuitumia hapo only jar.(java) also jad.may u have to change it to Nokia N-series or E-series and some symbian series phone. Utainjoy hapo may opera tu in term of surfing.....
 
Hapana kaka kuna mshikaji alishawahi kuniwekea ikafanya kazi ila niliiflash juz kati hapo ndo maana naihitaji tena kwa ss sipo naye yule jamaa aliyeniwekea mwanzo.Naomb msaada mwingne kaka if possble!
 
Habari ndugu! Kama kuna mtu ana jua namna ya kupata free download ya PDF AU ADOBE READER FOR MOBILE PHONE Naomba maelekezo.Simu yangu ni Orignal NOKIA 2700 CLASSIC, Nashindwa kusoma files zinazohitaji software hizo na nina shida nayo sana kuna materials yangu muhm sana ya kishule! NATANGULIZA SHUKRAN ZA DHATI KWENU WAUNGWANA!

ingia hapa www.getjar.com kisha nenda kwenye category ya education utaikuta mimi ninayo natumia kwenye nokia 6270 na 3110
 
Back
Top Bottom