Naomba nisaidiwe maelezo kuhusu Diego garcia

Naomba nisaidiwe maelezo kuhusu Diego garcia

JUNIOR GONG

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
60
Reaction score
28
Wakuu,

Habari za jioni? leo nimeifikiria sana ndege ya malaysia iliyopotea kusikojulikana MH370, sasa katika kusomasoma taarifa mbalimbali nimekutana na sasa sijajua kama ni kisiwa ama la inakohusishwa kuwa huenda ikawa iko huko ndomana nimekuja kwenu niweze kupata ufafanuzi zaidi mwenye maelezo ya kutosha juu ya DIEGO GARCIA anifahamishe.

Ni hilo tuu wakuu Jioni njema
 
Mkuu Diego Garcia ni "black site" ya intelligences services za Marekani. Ndani ya hiko kisiwa kuna clandestine activities za kila namna
 
Mkuu Diego Garcia ni "black site" ya intelligences services za Marekani. Ndani ya hiko kisiwa kuna clandestine activities za kila namna
Siyo Marekani tu ni pamoja na mshirika wake mkuu mwingereza..........kisiwa hiki walikipora na wenyeji walihamishwa kwa nguvu.....................Hairuhusiwi kupita hata kutembelea kisiwa hiki kwa wasio husika ni kama Area 51.......................
 
Ni kisiwa kidogo kipo bahari ya Hindi. Kipo Kati ya Tanzania,bars arabu Na bars Hindi. Kinatumika Na Marekani kwa operation zao za siri. Kina uwanja mkubwa wa ndege kuweza kutua mandege makubwa Kama boeing! Mengine google mkuu utapata!
 
Back
Top Bottom