braina Member Joined Jan 10, 2014 Posts 28 Reaction score 5 Apr 12, 2014 #1 Naomba msaada wenu wadau kama kuna mtu ana mawasiliano ya mkuu wa shule au mwalimu yeyote wa songe anisaidie ninashida nazo...
Naomba msaada wenu wadau kama kuna mtu ana mawasiliano ya mkuu wa shule au mwalimu yeyote wa songe anisaidie ninashida nazo...
braina Member Joined Jan 10, 2014 Posts 28 Reaction score 5 Apr 12, 2014 Thread starter #2 Hii shule ipo musoma mjini mkoa wa mara kama kuna mwenye namba za mwalimu yeyote wa shule hii naomba anisaidie ....
Hii shule ipo musoma mjini mkoa wa mara kama kuna mwenye namba za mwalimu yeyote wa shule hii naomba anisaidie ....
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,072 Reaction score 5,053 Apr 13, 2014 #3 nivumilie nitakutafutia jiran yangu anAfundisha pale