ki2kombora
Member
- Feb 19, 2018
- 49
- 83
Ok asante sanaBasi tu mkuu...nahangaika na hali zangu...cheki na centonomy kenya!
Kwa mtu ambaye hajawa fanya biashara ,unaweza mshauri vipi.Unaweza kuniuliza hapa na nitajitahidi kukusaidia kadri ya uwezo wangu, ikibidi tutatafuta namna ya kukutana kwa nafasi pana zaidi, mm ni mtaalam kiasi changu na uzoefu pia kwenye uwekezaji wa Fedha(Financial Management and Investments), Biashara (hardware, transport, Microfinance n.k)
Kama anapenda kufanya biashara, atafute fursa zilizopo na rasrimali anazoweza kupata na KUANZA TU kwa namna yeyote anzia padogo ukilenga PAKUBWA hakika atafika.Kwa mtu ambaye hajawa fanya biashara ,unaweza mshauri vipi.
[emoji106]Kama anapenda kufanya biashara, atafute fursa zilizopo na rasrimali anazoweza kupata na KUANZA TU kwa namna yeyote anzia padogo ukilenga PAKUBWA hakika atafika.
Unaweza kuniuliza hapa na nitajitahidi kukusaidia kadri ya uwezo wangu, ikibidi tutatafuta namna ya kukutana kwa nafasi pana zaidi, mm ni mtaalam kiasi changu na uzoefu pia kwenye uwekezaji wa Fedha(Financial Management and Investments), Biashara (hardware, transport, Microfinance n.k)
KARIBUMkuu naomba nikuone pm pia