Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,970
Wapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,

Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo ujikungute ndo urudishe huyo nyoka wako pangoni vizur????au kama huwezi si utumiee maji kujisafisha jaman??manake mtu unakutaaa ana chumvi chumvi kwa babu balaaa utasema uvinzaa hebu jifunzeni kushake well bwana hatutaki kusikia tuharufu twa mikojo tukiwa tunawavuaaa kisa mna haraka ya kukojoaa!!

Hebu acheni papara wakati wa kujojoaa bwana,kuna wakati mwingine unakutaa watu tushazidiwa na hili baridi kuogaa kablaa ya shughuli unajikuta unachelewa unamrukia baby kwa babu unakutana na chumvi chumvi aaaaaaaaaaaaagh.........stimu zinakata jaman!!!
hebu kuweni makini wakati wa kukojoaa na ukimaliza make sure una shake well then ndo unamrudishe huyo mzee sehemu husika!!!

Mambembe the unstoppable
QUEEN OF ALL WEATHER
 
Wanawie kwa maji tu hiyo shakewell bado haifai
Mwenzangu bora washake manake maji mtihan hata kaka zetu wa kiislam siku hizi hawatumii maji sijui wamekuwaje.....
 
Wapendwa habari za masiku,
Naomba niseme na baadhi ya wanamume,

Jaman kuna baaadhi ya wanaume wa siku hizi hawajui kushake well ,mmekuwaje?? Mtu unaenda kukojoaa kwann usituliee umalize mkojo ujikungute ndo urudishe huyo nyoka wako pangoni vizur????au kama huwezi si utumiee maji kujisafisha jaman??manake mtu unakutaaa ana chumvi chumvi kwa babu balaaa utasema uvinzaa hebu jifunzeni kushake well bwana hatutaki kusikia tuharufu twa mikojo tukiwa tunawavuaaa kisa mna haraka ya kukojoaa!!

Hebu acheni papara wakati wa kujojoaa bwana,kuna wakati mwingine unakutaa watu tushazidiwa na hili baridi kuogaa kablaa ya shughuli unajikuta unachelewa unamrukia baby kwa babu unakutana na chumvi chumvi aaaaaaaaaaaaagh.........stimu zinakata jaman!!!
hebu kuweni makini wakati wa kukojoaa na ukimaliza make sure una shake well then ndo unamrudishe huyo mzee sehemu husika!!!

Mambembe the unstoppable
QUEEN OF ALL WEATHER
kwa sisi waislam haifai kukojoa huku ukiwa umesima
 
Kwani ntakuwepo?? Mi mwnyw nakimbia nguo nilifua jana,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapovu yatakuwa sio ya nchi hii
 
kwa sisi watt wa kiislam hairuhusiwi kukojoa huku ukiwa umesimama kwani tone la mkojo ni najisi
 
Back
Top Bottom