Naomba niulize hivi,

Naomba niulize hivi,

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Kwenye nusu fainali ya uefa champions league wakati Barcelona alipoichapa Real Madrid 2 - 0 mechi ya kwanza,watu wasio jua mpira walisema maneno ya uzushi na uongo kuwa Barcelona kabebwa,sasa naomba niwaulize wana michezo wote kwa ile fainali ya jana kati ya mabingwa BARCELONA dhidi ya Man u,je Barca kabebwa?jamani watu tuache fitna,timu ya BARCELONA wamezaliwa na mpira na mpira wanaujua na hawabahatishi hata kidogo.Hiyo ndo Barca kama huipendi chimba shimo ujifukie.
 
Washabiki wa man walikuwa wanajua mziki wa barca hawauwezi na ndo maana madrid alivyotolewa wengi wao walikasirika utadhan walifungwa wao, kumbe waliona moto ulivyokuwa unaenda kuwawakia, hata hivyo walijitahidi waliposes zaidi ya 30% wenzao walikuwa hawafiki hata hiyo 30%.
 
Kweli kabisa ndugu yangu,man u aliujua mzika wa Barca si wa kitoto ndo maana akaanza fitna za hapa na pale na uzushi wa vitu visivyokuwa vya kweli.
 
Back
Top Bottom