Kweli kabisa ndugu yangu,man u aliujua mzika wa Barca si wa kitoto ndo maana akaanza fitna za hapa na pale na uzushi wa vitu visivyokuwa vya kweli.Washabiki wa man walikuwa wanajua mziki wa barca hawauwezi na ndo maana madrid alivyotolewa wengi wao walikasirika utadhan walifungwa wao, kumbe waliona moto ulivyokuwa unaenda kuwawakia, hata hivyo walijitahidi waliposes zaidi ya 30% wenzao walikuwa hawafiki hata hiyo 30%.