Naomba niulize

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
906
Reaction score
426
habari za jion wana familia wa jf?
hua najiuliza humu ndani kwanini profile zilizo nyingi member hawaweki picha zao na majina harisi, najiuliza majina kama kipanya, chongo,vuvuzela mnubi, n.k sijajua haya ndio majina halisi?

naomba msaada nifahamishwe.[emoji120]
 
Kwani ww hilo jinalako ni halisi?

Aafu kwq kizazi cha sasa iyo Id yako ni matusi
 
Usiri ni muhimu katika mambo yako...
 
Mi nadhani anonymous inamfanya mtu kuwa huru kutoa maoni ukizingatia tena kuna li cyber law.
 
We utakua una unaumwa upungufu wa kufikiri....mbona wewe hujiulizi kwa nn hujaweka jina lako
 
Preach what you practice
 
Sababu unazijua ndiyo maana hata wewe umeficha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…