Kipenzi Chao
Member
- Oct 12, 2010
- 99
- 4
Haimaanishi chochote zaidi ya mapambo tu.Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni;
- Mkufu unaovaliwa mguu wa kulia pekee
- Mkufu unaovaliwa mguu wa kushoto pekee
- Mkufu unaovaliwa miguu yote
Natambua kabisa kuwa yapo makabila mengine wanavaa kama urembo tu, na si vinginevyo. Lakini nilipata pia kusikia kuwa kwa baadhi za jamii kila mguu hubeba ujumbe wake; kama vile tiGO thumni, kotekote, nk. Sasa naulize kuhusu ukweli huo na mguu upi humaanisha nini?
Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni;