Naomba niwe supplier wa computer

Naomba niwe supplier wa computer

nahitaji laptop naomba uweke picha na bei hasa iwe dell au hp pia unaweza ni pm for more information
 
Computer zote ni za kutoka Marekani, mathubuti kabisa.
Sina connection na makampuni ya kichina maana bidhaa zao dhaifu na hazina muda mrefu wa matumizi.
 
Computer zote ni za kutoka Marekani, mathubuti kabisa.
Sina connection na makampuni ya kichina maana bidhaa zao dhaifu na hazina muda mrefu wa matumizi.[/QUO
MKUU TUPE SPECIFICATION ZAKE NA BEI, MI NAHITAJI LAPTOP
 
Computer zote ni za kutoka Marekani, mathubuti kabisa.
Sina connection na makampuni ya kichina maana bidhaa zao dhaifu na hazina muda mrefu wa matumizi.

Mkuu una uhakika na hapo kwenye red? Hata apple wananunua components toka china, fungua computer yoyote ya dell au geuza hiyo screen unayotumia soma nyuma kama haujaona "Made in China". Tatizo ni nyie wafanyabiashara mnaenda kununua substandard kwa bei za kutupa na kuja kuwauzia warugaruga! gademu
 
Hatupo kwa ajili ya kubishana wakati nimekueleza ni computer ambazo made in USA toka kampuni ya deli ninayoifayamu viwanda vyao na maghala yao karibu na uwanja wa ndege kando ya Rt. 40 Interstate kama waijua vema Marekani. Mwenye kutaka kujua zaidi wasiliana nami kwa email ifuatayo: sndoyela@yahoo.com Ukitumia messege kutoka mtandao huu kama mmoja alivyojaribu computer yangu inablock kwa vile yaja kama sparm mail kwa vile kuna walinzi wakali sana wa virus ndani ya computer yangu.
 
Na kwa taarifa yako computer za Marekani makampuni yanayozalisha vipuli vya kutengeneza computer yako marekani hasa kwa kampuni ya dell. Vinginevyo matawi ya dell yaliyoko Asia na Ulaya ndo hufanya hivyo kwa ajili ya kubana matumizi ya usafirishaji. Nikuambialo nahakika nalo kwa vile nilipokuwa chuoni marekani nimefanya kazi kwenye kampuni inayozalisha vipuli vya computer (Amp electronic parts) ambayo inasambaza parts hizo kwa makampuni mbalimbali yanayotengeza computer, redio na components nyingine katika bara la marekani. Ndipo niliposhuhudia madini shaba ya Zambia yanavyonufaisha mataifa ya nchi za magharibi wakati Zambia inabaki Maskini. Umenipata hapo? Huko Asia na china sikujui na sijatia mguu kabisa.
 
Back
Top Bottom