the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 216
habarini wana jm, mimi ni kijana mjasiliamali na nnajiendeleza na elimu ya juu (shahada ya kwanza), naishi ubungo kutokana na mkataba wa kupanga miezi sita iliisha alhamisi ya tar19, japo nimeongezewa muda wa siku 10 zinazoisha jumapili tar 30 katika shughuli zangu nimejitahidi nmepata kiasi kidogo cha fedha ya pango lakini bado nimepungukiwa na tsh 30,000 na nnashindwa kwenda kwenye ujasiriamali kutokana na kujiandaa na mitihani ya chuo (UE) naomba kwa yeyote atakayekuwa tayari niwekeze kwake tv flat screen LG INCH 32 nilipe pango ila nikimaliza mitihani nimtafutie hiyo pesa ili kwa sasa nijikite kwenye kujiandaa na mitihani inayoanza j3
kwa mawasiliano 0687902520
kwa mawasiliano 0687902520