Naomba niwekee tv yangu flat screen nipate 30,000 ya kodi

the happiest man

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
253
Reaction score
216
habarini wana jm, mimi ni kijana mjasiliamali na nnajiendeleza na elimu ya juu (shahada ya kwanza), naishi ubungo kutokana na mkataba wa kupanga miezi sita iliisha alhamisi ya tar19, japo nimeongezewa muda wa siku 10 zinazoisha jumapili tar 30 katika shughuli zangu nimejitahidi nmepata kiasi kidogo cha fedha ya pango lakini bado nimepungukiwa na tsh 30,000 na nnashindwa kwenda kwenye ujasiriamali kutokana na kujiandaa na mitihani ya chuo (UE) naomba kwa yeyote atakayekuwa tayari niwekeze kwake tv flat screen LG INCH 32 nilipe pango ila nikimaliza mitihani nimtafutie hiyo pesa ili kwa sasa nijikite kwenye kujiandaa na mitihani inayoanza j3

kwa mawasiliano 0687902520
 
je utamkuta wap huyo mtu kumpa pesa yake nae akupe tv yako
 
Lete kwangu ila utaikomboa kwa elfu 50
0621 059225.
 
Lete mbezi beach 30,000 utarudisha 40,000 kwa mwezi ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…