Ni wanafunzi na wafanyakazi wa njombeOur motto liberation. Education we get should libaret us
Pia maendeleo tuliyonayo sasa.. Tuendelee wala tusilegeze kamba..Ni wanafunzi na wafanyakazi wa njombe
Shule ya sekoondari Mungu tubariki
Yaaan ijumaa watu huwa na asira kinoma maana mkulu akipanda pale anaongea kinoma assume na jua lile mnasimama hadi sa sita hivi.. Ndo mnaenda kupiga pola...Àisee huo wimbo mnanikumbusha siku za ijumaa pale assemble[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Wazee wa nyamagana na ndovu