Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mbaba umeiua bila kutaja vipengele vyake sio sawa! Mwaga moto kwanza kwanini hio sio gari wakati watu wanalipia million 20/20 zao kila kukicha?Hamna cha nondo wala nini... Hamna gari hapo mkuu! Jitahidi ufanye test drive kwanza ujioner mwenyewe
Naungana mwamba hapo. labda nikiitumia naweza ielewa kidogo.. nasikia.EJ20 non turbo HP zake za kimama sana π΅π΅Mbaba umeiua bila kutaja vipengele vyake sio sawa! Mwaga moto kwanza kwanini hio sio gari wakati watu wanalipia million 20/20 zao kila kukicha?
Eeh ile ni mtori tu mzee baba πππNaungana mwamba hapo. labda nikiitumia naweza ielewa kidogo.. nasikia.EJ20 non turbo HP zake za kimama sana π΅π΅
Kina Brevis wanakuwa wanaisomesha namba, dharau πππ.. road unakuwa mpole kweli kweli.. labda uwavimbie kina ISTEeh ile ni mtori tu mzee baba πππ
Hamna bana ya JDM kuanzia 2008-2011 ina 148HP sema haina magonjwa magonjwa! Hii inatosha sana kusumbua hapo lami mzee.Kina Brevis wanakuwa wanaisomesha mamba, dharau πππ.. road unakuwa mpole kweli kweli.. labda uwavimbie kina IST
Gari nitayonunua baada ya hii.. Haitokuwa chini ya 270HP.. πππ.. hizi sijui148HP na zifanazo na hizo basi tu pesa ndio mnoko,tunakosa utamu mwingi sana..Hamna bana ya JDM kuanzia 2008-2011 ina 148HP sema haina magonjwa magonjwa! Hii inatosha sana kusumbua hapo lami mzee.
Mie kwa 130HP nanyanyasa hivyo itakuwa hio Subaru!
Hahahah sahizi jamaa wamekuja na line ya GR! Gari zote wanazotoa sahizi zitakuwa na 260HP+Gari nitayonunua baada ya hii.. Haitokuwa chini ya 270HP.. πππ.. hizi sijui148HP na zifanazo na hizo basi tu pesa ndio mnoko,tunakosa utamu mwingi sana..
Corrolla huwa nazielewa sana. Nishatumiaga moja, ya soko la ulaya.. ni nyoko ile gari, kuanzia suspension system yake na kwenye mwendo moto wake ilikuwa usipime.Hahahah sahizi jamaa wamekuja na line ya GR! Gari zote wanazotoa sahizi zitakuwa na 260HP+
Wameanza na Yaris GR 267HP ila kuna Corrolla GR yenyewe itakuwa na 298HP yani hawataki tena kusikia Toyota mnaziita Soccer moms cars!
Cross Sports ndio ya ukweli kidogo hata muonekano wake mtamu zaidi! Itakuwa ya 2008 bila shaka!Corrolla huwa nazielewa sana.. Nishatumiaga moja, ya soko la ulaya.. ni nyoko ile gari, kuanzia suspension system yake na kwenye mwendo moto wake ilikuwa usipime.. Hapa kidogo nimepumua jamaa kaniambia ni cross sport nilikuwa nazidi kubadiri mawazo kichwani.. hii kidogo nasikia ina maana barabarani ..
Jumanne au jumatano nikiichukua trip ya mwanza then mwanzw dodoma.. niione ππππCross Sports ndio ya ukweli kidogo hata muonekano wake mtamu zaidi! Itakuwa ya 2008 bila shaka!
SG5 ile ndio naielewaga zaidi facelift! Hahaha unataka utest unyama wake kwanza uuone ukoje? Inasepa bana 140 horses is quick at 6500rpm inasepa!Jumanne au jumatano nikiichukua trip ya mwanza then mwanzw dodoma.. niione ππππ
Babu xt unaishindanisha na ist!!Kina Brevis wanakuwa wanaisomesha namba, dharau πππ.. road unakuwa mpole kweli kweli.. labda uwavimbie kina IST
Cross sports nadhani si ghali kama xtCross Sports ndio ya ukweli kidogo hata muonekano wake mtamu zaidi! Itakuwa ya 2008 bila shaka!
Yah bei zake zimepoa halafu ni model ya nyuma so itakuwa haiumizi aana huko SokoniCross sports nadhani si ghali kama xt