Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Asante mdau kwa nondo hii asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali mwamba! Mie gari yangu ni 200K+ ila iko njema mno kiasi kwamba huwezi dhani ina hizo kms! Gari ni matunzo tu!
Hiyo ni gari gani Mkuu unamiliki yenye km 200,000.mi nilikutana na pro box imekimbia km 300,000, liteace Noah km 240,000 na Bado iko njema, ukicheki gari Kama Toyota Highlander nyingine ziko kwenye mile 160,000 Hadi mile 200,000. So gari ni matunzo Basi .
 

Wachimba chumvi watajulia wapi haya mambo.L/Cruser huko mitandaoni ukizitafuta unakuta zina Km 300,000+ na bei yake haishikiki.

Afu anakuja lofa mmoja anakwambia hio haifai kwa hizo km Itakua imeoza body,inahitaji overhauling na uongo kibao.

Bongo kwa ujuaji ndio kwenyewe hapo.
 
Mkuu huko South Africa wanazitumia Toyota Quantum hadi kufikia 999,999 kms na odometer inasimama kusoma lakin bado ukiziona kama mpya.
 
Tehtehteh kumbe ile harrier used uliyonunua kutoka kwa ndg yako hapa hapa bongo ndio unadanganya uliagiza huko mambele?

Acha kuvimba wkt hela huna jo.
Actually sikununua. Nilipewa niwe naitumia.

Na ulivyo boya story za gari ya kwanza ya miaka 100 iliopita unaleta leo?

Kwa taarifa yako tu, ilikuja bongo na 30k km mpaka sasa haijafikisha hata 100k.

Na tangu hapo zineshaingia nyingine.
 
Hahaaa vitu vinaning'inia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakuu jana nimeotumia XT siku nzima ipo vizuri hii gari ukiwasha turbo hakuna boya wa kukusumbua road ipo vzr[emoji119][emoji119]
 
Mbaba umeiua bila kutaja vipengele vyake sio sawa! Mwaga moto kwanza kwanini hio sio gari wakati watu wanalipia million 20/20 zao kila kukicha?
Subaru Happ ndo wamemaliza ujanja wote? Wajiongeze watuletee gari ya juu zaidi
 
Ina maana harrier tako la nyani vs subaru forester xt,sh5 ni nani hapo ?

Maana izi forester kiukweli zimekamata soko la Tz ivi sasa zipo nyinginmnoo na zinavutia hasa ukili pimp mguu mkali ukipata enye roof inakuwa chicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…