Subaru is good car kama utazingatia regular maintenances za hili gari.. common problems za gari za Subaru ni injni problems zinatokana na kuto badirisha egine oil kwa wakati, pia zinashida ya head gasket ku blow, zina shida ya oil consumption (this is an inherent problem because of engine design(subaru ina boxer injini yaan piston zake zipo horizontal so hakuna effects za natural gravitational force inayo rudisha oil kwenye sample pan pale pistons zinapo move toward crankshaft) pia injini ya subaru inashida ya kivujisha oil kwakua seals za injini zinachoka haraka. Kingine kwenye injini ni tatizo la thermostat.. kibonobongo wengi huondoa hizi thermometer ili kuruhusu maji ya kupoza injini yazunguke bila restrictions na kuavoid overheat
Kwenye suspension systems hii gari inakuja na independent suspensions meaning each wheel is independently attached to car chase hizo itakupa comfort ride kwenye rough road but changamoto ya suspension hizi ni kwamba zina bushings nyingi sana kiasi kwamba zinakua na gharama nyingi ku replace then inakua shida.
Gari inakuja na XT asymmetrical all wheel drive (transmission) system so this is the delicate system though ni tough and seems reliable and dependable kwenye barabara mbAya kiasi cha ku affect tire grip/reaction . So hii asymmetrical inahitaji gari ifungwe tairi zinazolingana pande zote nne unless una affect operations effectiveness.
Gari hii zingatia kuweka recommend transmission fluid ya subaru wenyewe and not otherwise