Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

ukinyanyua unitag, tuje tuweke ligi mkuu, na mie nitakuja na Crown Athlete yenye 2GR, CC 3500 [emoji41][emoji41]
Mimi nilijichanganya nikanunua gari ya cc 3000+ baada ya mwezi tu nikaifungia ndani na kuamua kuirudia ist yangu [emoji38][emoji38][emoji38] kwa siku naenda umbali wa mpaka kilometers 60 ama zaidi kwenda kazini, ist haili sana mafuta.
 
kama uchumi upo vizuri unakuwa na gari mbili tatu hivi.. hata kamoja kenye cc 650
 
Mimi nilijichanganya nikanunua gari ya cc 3000+ baada ya mwezi tu nikaifungia ndani na kuamua kuirudia ist yangu [emoji38][emoji38][emoji38] kwa siku naenda umbali wa mpaka kilometers 60 ama zaidi kwenda kazini, ist haili sana mafuta.
man cc3000 mjini unafanya nazo nn? lazima upack tu maana hilo ni jini kunywa mafuta
 
Kaka hyo engine tu inauzwa karibuni milion 16 used, atapata kwa bei hyo kweli??
Mkuu zipo hizo gari Kuna watu wanauza na wengine zimetunzwa vizuri kabisa. Labda kwa wale wanaotaka namba D ndio ngumu kupata maana nyingi za Bei hii ni A/B.
 
Asante kwa nondo hii mkuu, kama hutajali nishushie nondo za suzuki new model excudo td54w
 
Baada ya muda wa kupata uzoefu wa magari, nimegundua moyo wangu unasuuzika na Cc 2,500 na zaidi. Pungufu ya hapo najisikia mnyonge sana
 
Braza unataka kummaliza jamaa! Huo moto hata BMW M Series hasogelei πŸ€“πŸ€“πŸ€“ atasoma logo ya ATHLETE tu
Nadhani ni masihara mkuu, unaujua mziki wa bmw m4? yaani mnyama kama m4 umlinganishe na athlete?πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…