Naomba nyimbo za Lucky Dube

Naomba nyimbo za Lucky Dube

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
3,955
Reaction score
2,133
Wakuu heshima zenu. Naomba msaada nipate nyimbo zote za Lucky Dube na msisitizo ni kwenye wimbo "Usizi". Ikiwa katika mfumo wa MP3 nitafurahi zaidi.
Asanteni
 
Wakuu heshima zenu. Naomba msaada nipate nyimbo zote za Lucky Dube na msisitizo ni kwenye wimbo "Usizi". Ikiwa katika mfumo wa MP3 nitafurahi zaidi.
Asanteni

Mimi ni mdau mkubwa wa reggae, na nina library ya kutosha! Kutokana na network ninayotumia kwa sasa naweza kukurushia nyimbo kadhaa unazopenda; nitumie mail yako (PM) na list ya nyimbo ambazo ni kipaumbele kwako.
 
Lakini vilevile unaweza kupata nyimbo nyingi sana kupitia vuze au ares! Lime wire ilikuwa kiboko, lakini toka wapigwe ban imekuwa balaa!
 
Back
Top Bottom