Wakuu heshima zenu. Naomba msaada nipate nyimbo zote za Lucky Dube na msisitizo ni kwenye wimbo "Usizi". Ikiwa katika mfumo wa MP3 nitafurahi zaidi.
Asanteni
Wakuu heshima zenu. Naomba msaada nipate nyimbo zote za Lucky Dube na msisitizo ni kwenye wimbo "Usizi". Ikiwa katika mfumo wa MP3 nitafurahi zaidi.
Asanteni
Mimi ni mdau mkubwa wa reggae, na nina library ya kutosha! Kutokana na network ninayotumia kwa sasa naweza kukurushia nyimbo kadhaa unazopenda; nitumie mail yako (PM) na list ya nyimbo ambazo ni kipaumbele kwako.