Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
Naweza kupata list ya mawakili wapya walioapishwa leo December 13 2019?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona rekodi ya mawakili wa zamani na wanaoingia wapya unazikuta kwenye tovuti ya TLS online, fanya utaratibu utawaona na idaidi halisi kuwa Tanzania wamefikia mawakili wangapi kabla na baada ya uhuru mpaka hiyo list unayoitaka.Naweza kupata list ya mawakili wapya walioapishwa leo December 13 2019?