Naomba orodha ya mawakili wapya

Naweza kupata list ya mawakili wapya walioapishwa leo December 13 2019?
Mbona rekodi ya mawakili wa zamani na wanaoingia wapya unazikuta kwenye tovuti ya TLS online, fanya utaratibu utawaona na idaidi halisi kuwa Tanzania wamefikia mawakili wangapi kabla na baada ya uhuru mpaka hiyo list unayoitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…