Naomba past papers za aptitude test kama hizi

Ebhanaaaaaaaa kumbe vifaa vya kupima utimamu wa akili zimetapakaa hivi.

Wito sasa kwenye hizi intavyuu wangejumuisha na maswali kama haya ili tuwe na uhakika tunaajiri watu smart. Sio tu book smart bali watu smart kwerikweri.

Kwanza mambo ya u book smart wameshapimwa na shule/vyuo vyao pamoja na mabaraza ya kada zao.

Hiyo iwe kwa kazi zote kuanzia siasa, utumishi wa umma hadi kuteuliwa katika ngazi mbalimbali.
 
A
Duh hayo maswali πŸ™Œ au n kwa sababu mm sio mwalimu πŸ˜‚
Akuna mkuu hata walimu wanaliona chenga tu utacheka ukiliona lote Hilo Pepa mwisho kunapicha ya mchina Fulani hivi alafu swali unaulizwa huyu nani kwenye hii picha Sasa hapo sijui ndio wanapima akili wenyewe ndio nn aisee hii.nimeattach hiyo chini
 
Attachments

  • Screenshot_20240903-113745.jpg
    48.7 KB · Views: 20
A

Akuna mkuu hata walimu wanaliona chenga tu utacheka ukiliona lote Hilo Pepa mwisho kunapicha ya mchina Fulani hivi alafu swali unaulizwa huyu nani kwenye hii picha Sasa hapo sijui ndio wanapima akili wenyewe ndio nn aisee hii.nimeattach hiyo chini
Huyu c Ban Ki-Moon au 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…