Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Haiondoi ukweli na wewe unajua kabisa, ktk haya mambo bado tunahitaji msaada wa mzungu. Haya ya tuna madaktari wamesomea ni kujifariji.

we ndyo shithole kabisa.....kila kitu unataka akufanyie mzungu utadhani we hauna ubongo
 
we ndyo shithole kabisa.....kila kitu unataka akufanyie mzungu utadhani we hauna ubongo
Ni wapi nimesema kila kitu? Wewe mwenzangu mwenye ubongo mpaka sasa umefanya nini? Hao watafiti wa Waafrika mpaka sasa wamefanya nini maana mpaka sasa PEP na ARV na majaribio mengine yanayojulikana ktk kutafuta mbinu yanafanywa na nchi za magharibi? Waafrika hao mnaowasema wamefanya nini mpaka sasa? Mimi ni shithole mwenye uelewa ktk hili. Nakuachia wewe sehemu inayobaki.
 
haya hao wazungu wako mpaka sasa wamefanya nn ili kupata dawa inayotibu ukimwi zaidi ya ngonjera tu kila siku
 
haya hao wazungu wako mpaka sasa wamefanya nn ili kupata dawa inayotibu ukimwi zaidi ya ngonjera tu kila siku
Arv ni juhudi za nani? Kama una mgonjwa mwambie aache kunywa arv ndio utapata majibu ngonjera zimefikia wapi.
 
Arv ni juhudi za nani? Kama una mgonjwa mwambie aache kunywa arv ndio utapata majibu ngonjera zimefikia wapi.

ndyo maana nikakuita shithole kwa sababu hujielewi we unadhani hizo arv zimetengenezwa na wazungu peke yao? kwa taarifa yako jopo la madaktari weusi wamehusika kwenye kufanya utafiti mpaka arv kugunduliwa.....pia nakukumbusha tu operesheni ya kwanza ya kutenganisha mapacha walioungana vichwa na kufanikiwa ilifanywa na daktari mweusi

kwa sababu wazungu wana media za kujipa promo ndyo watu km wewe mnaamini kila kitu mpaka mzungu agundue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…