Naomba picha ya vidonge vya ARV vya kisasa nijiandae kisaikolojia

Kuna vile vya brown sivioni yaan unakuta vipo mixer kuna brown na vyeupe inakuwa combo km karanga yenye ganda na uliovua ganda
Iko hv, kuna ambao wanaumwa Tb, wanahara au wana ukurutu au wanaumwa unyafuzi huku tayari wakiwa wameathirika, hao huwa wanachanganyishiwa vidonge.
Lazima uchanganye dozi
 
Hapo kila rangi na wakati wake.
Kuna za kuanza mpaka za mwisho.
Blue, njano, pink na nyeupe na kila dawa ina hatua zake.

Ila mkuu kama uko serious pole sana na wala sio mwisho wa kuishi.
View attachment 779333
Hatari sana. Wiki iliyopita kwa rafiki yangu nilidondosha simu hivyo betri ikadondokea chini ya stand ya friji. nilikuta kimoja chini ya friji kina maandishi dll kama niko sahihi. Mpaka leo sijamuuliza bado.
 
Hahaahah....mkuu utatafuta ugomvi na rafiki yako.
Ila waweza muuliza kiustaarabu tu...atakujibu
 
Hivi kweli mzungu kashindwa kabisa tengeneza tiba ya hii kitu? Au ndio kasema potelea mbali ugonjwa wa watu weusi huu maana haiingii akilini hizo PEP zafanya kazi ila HIV yenyewe wameshindwa.
 
Hivi kweli mzungu kashindwa kabisa tengeneza tiba ya hii kitu? Au ndio kasema potelea mbali ugonjwa wa watu weusi huu maana haiingii akilini hizo PEP zafanya kazi ila HIV yenyewe wameshindwa.
Mzungu huyo huyo mnamtukana kuwa asiwaambie kitu wala asiwacommand kwenye njia za kupita kujiletea maendeleo, leo unamlaumu kutogundua dawa? Tuna madaktari wangapi Africa ambao wamesomea utafiti wa magonjwa na dawa, kwa nini mzungu? Nyinyi ndo mnatufanya tunaitwa shit hole.
 
Haiondoi ukweli na wewe unajua kabisa, ktk haya mambo bado tunahitaji msaada wa mzungu. Haya ya tuna madaktari wamesomea ni kujifariji.
 
Sasa wanakutongoza wakati hawajaona kapicha wangeona ingekuaje

Nadhani
Wanakutongoza kwa sababu ya umaarufu wako madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…