Ile ililoana wakati natoka gulion mvua ik2nyeshea hv hukubaki na negative?[/QUOTE]
Hizo bluu zimenikumbusha mbali sana kuna guilo fulani liko sehemu moja wanaita Maganzo duh kuna waarabu wengi hapo wananunua almasi lakini kwenye gulio wanajazani ile mbaya.
Negative sasa tunaiita Nega ukipiga picha unaonyesha dole gumba raha mstaehe
Afrodensi unanipa digital au picha yako?
Ile camera tuliyonunua mwaka 90 si unajua ukipiga picha leo inabidi usubirie wiki moja ndio upate picha
Katika vitu vinavyonipa wakati mgumu kwenye mahusiano ni kuombwa picha eebwana inanipa taabu sana.nakumbuka mala ya mwisho kupiga picha ilikua namaliza standard 7 sasa akiomba picha inabidi nifikirie kwenda studio kupiga picha mackini hata pozi nilisha sahau hv kwa wewe unafanyaje khs hl?mimi kwangu ni mtihani.
Toa hiyo ya kumaliza standard 7, kwani si ina negative safisha nyinginyingi, ukiombwa tu gawa hizo. Picha yako hata kama ni ya siku nyingi inabadilisha sura?
Afrodensi unanipa digital au picha yako?
Ok nikukute wapi?ukinipa itabidi unifundishe kui2mia ok
Aaah desidii umeanza uchokoz mi ctaki unataka zifke mia nishindwe kuzimanage?
Hilo siyo tatizo kwani naweza kukutumia hata kwa DHL...Ila hiyo habari nyingine mhhhhhh...Haitawezekana kwa jina la Babu wa Loliondo!!
Nitakutumia makaratasi usome na kujihudumia mwenyewe, sawa mdogo wangu?
Jamani kama kuna mtu amenionea Desidii, naomba amwambie namtafuta eti.:focus:
Thawa mkubwa hakuna matataHilo siyo tatizo kwani naweza kukutumia hata kwa DHL...Ila hiyo habari nyingine mhhhhhh...Haitawezekana kwa jina la Babu wa Loliondo!!
Nitakutumia makaratasi usome na kujihudumia mwenyewe, sawa mdogo wangu?
Nipo Babu sema nipo nipo
Unajua navyokumisi Desidii?