Naomba Picha yako Mpenzi!

My dear mie ntakupa camera
Lakini inabidi uchague
80s ile kila ukipiga unarewind
90s ile yakuweka machoni
00s km10 mbele bado unapiga picha..
Ile yenye kioo kikubwa..

Kuhusu picha yangu muombe TF anazo zote
Hebu nitafutie ile camera ya 80's kama unayo nakumbuka uliiweka kule kwenye maboksi
 



huu kweli ni mtihani download freeavatar aelee nazo si anataka picha na hicho ndo kipimo cha upendo .ok
 
Hehehhe...angekua bado hajakuona unaomba picha ya mtu ambae ni tofauti kabisa na wewe ndo unampa ili uone kama anakupenda kweli au unataka sura yako!!!
 
Hehehhe...angekua bado hajakuona unaomba picha ya mtu ambae ni tofauti kabisa na wewe ndo unampa ili uone kama anakupenda kweli au unataka sura yako!!!
Mmmh anaweza kukimbia but kananijua bwana.
 
Ha ha ha teh teh umenikumbusha ntaweka na dole gumba.
hakikisha pembeni kuna feni na ua halafu mkononi kamata pepsi kola.hakikisha maandishi ya soda na aina ya feni yanaonekana.weka mguu mmoja mbele(inategemea soda umeshikia mkono gani,mguu wa tofauti ndo uwekwe mbele).vuta pumzi ndefu halafu wakati mpiga picha anakwambia 'napiga' we sema kwa sauti 'chipssssssssss'!!yani utauza mbaya!!
 
Ha ha ha mbavu zangu jamani duuh hii noma
 
Hebu nitafutie ile camera ya 80's kama unayo nakumbuka uliiweka kule kwenye maboksi

Mmhhh
panya hawajaimaliza kweli..
weye mbona unayo ya 00s?
Kweli wataka mi niingie kwenye
kwenye yale mabox yenye vumbi...
Mmhhh
 
Nimepoteza album. Kokudo ukiiona chukua picha moja zingine niletee.
 

Umenikumbusha soda moja ilikuwa inaitwa Double Cola ilikuwa tamu kweli sijui ilikwenda wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…