Naomba Picha yako Mpenzi!

Hiyo bluu hujaiona hapo NINYO ndo nani tena
Jamani NINYO ndo husninyo na ndo maana ye kajua.ok leta mpya maana nikiona lastpost Dena Amsi najua huko kuna mpya.
 
Ina maana hata picha za matukio muhimu huna?passport size ulizoombea kazi? picha za graduation? pole kokudo nenda photo point
 

Wewe, inaonyesha ulizaliwa miaka ya 1957.....1964...
Watu wa kizazi hicho ndiyo walikuwa wanapenda sana kuomba picha kwa wapenzi iwe wamwkataliwa au la! na sijui unaishi wapi! amabako wanaombana picha!! mambo ya zamani sana hayo....wengi humu hawajui ndiyo maana wanachanyanya maada! Studio! picha!
Ule wimbo wa naomba picha yake ooh stella mama x 15, ingawa ndugu zako hawanitaki.......... ni wimbo wa kipindi hicho!!!
Duh! uanatania au kweli!?
 

Hizi enzi hizo:
 
Hapana mi ni kati ya 1990 na 1992 but ckua na utamaduni wa kupiga picha ha ha teh teh
 
Hapana mi ni kati ya 1990 na 1992 but ckua na utamaduni wa kupiga picha ha ha teh teh
 
picha na mapenz wap na wap au anataka awe anaitumia kujirha ukiwa haupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…