Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Kama title inavyosema. Huwa navutiwa sana na muonekano wa nissan juke. Na pia hazipo common sana kwa huu ukanda ninaoishi. Natamani kuagiza hii gari kabla huu mwaka haujaisha, kwa ajili ya route za kazini na home.
Kwa waliowahi kuendesha haya magari naomba mnipe lonja zaidi.
Kwa waliowahi kuendesha haya magari naomba mnipe lonja zaidi.