Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Umegonga mtima sana mkuu, nakubali sana hizi gari hasa ile shape yake mimi napenda sana.Kama title inavyosema. Hua navutiwa sana na muonekano wa nissan juke. Na pia hazipo common sana kwa huu ukanda ninaoishi. Natamani kuagiza hii gari kabla huu mwaka haujaisha, kwa ajili ya route za kazini na home. Kwa waliowahi kuendesha haya magari naomba mnipe lonja zaidi.
Sio kweli mkuu zanzibar ziko chache sana hizi.Hizi Gari Zanzibar zimejaa kila mtaa yaani sijui kwanini wanazipenda Wakojani😀
Sahihi mkuu na hayo ndio maisha yanavyokuwa kuna namna ambayo kila mtu akili yake itavutiwa na jambo fulani tofauti na mwingine.Ni gari nzuri ingawa mimi personally sijavutiwa na design yake.