Naomba radhi kwa wenyeji wa JF kuingia ndani bila kubisha Hodi!

Naomba radhi kwa wenyeji wa JF kuingia ndani bila kubisha Hodi!

chrissleon

Senior Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
147
Reaction score
89
Wakuu kama uzi unavyo sema hapo juu imenibidi niombe radhi maana nimeingia kwenye kaya ya JF na kutembelea vyumbani bila kubisha hodi na kukaribishwa na wenyeji ili wanipe utaratibu wa kuishi kwenye KAYA yao.

Naomba munipokee kwa mikono miwili na munipe utambulisho wa kaya yenu.
 
Krb sana JF mjukuu wetu ufaidi hapa GT.

Ulimakafu, katika ubora wake, shukrani nimekaribia babu tehtehteh kumbe kuna mababu wa kuwatania humu wazee wenzako ni wakina nani iliniwajue kabisa.
 
Back
Top Bottom