Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Natamani nkuone we dadaMods mtuwekee na reaction ya la kati....
Uko wapi? Tuonane jumatano 😃Natamani nkuone we dada
Nkuambie mala ngapiii😔😔😔
Unanielewa sana tuUko wapi? Tuonane jumatano 😃
usijichanganye na matusi makali ohoo kazana sasa, oktoba nisiguswe dadeki tiki kubwa *****Mods mtuwekee na reaction ya la kati....
mkuu hao mafedhuri nawachukia basi tu si tumeshaa zaa na wazenji tumechanganya damu wanataka kututenganisha sikubali, ole ole olewako mniguse eti kwanini naenda kupiga kura nisiseme sana msije kuogopa nataka wa kumtoa mfano, oktoba,,,,,,,,,,.yebhaaaaa√√√√√√√Sisi makamisaa inaonyesha unatiki kwa hasira
siungi mkono polepole adhurihike ila kutiki nita tiki inshaallahNyakati mbaya katika macho yangu zenye huzuni na majonzi mengi .
Freepolepole please
Shida ni kuwa hata ukienda kupiga kur hao polisi huenda wakaludhuru maana hawajui/tambuamkuu hao mafedhuri nawachukia basi tu si tumeshaa zaa na wazenji tumechanganya damu wanataka kututenganisha sikubali, ole ole olewako mniguse eti kwanini naenda kupiga kura nisiseme sana msije kuogopa nataka wa kumtoa mfano, oktoba,,,,,,,,,,.yebhaaaaa√√√√√√√
zitahesabiwa ata hizo chache mkuu kwani miaka yote mnapigaga kura nyote si huwa nisiwachache tu, onyo oktoba natiki nisiguswe, hii kichwa ni wrong number jichanganyeni sasaShida ni kuwa hata ukienda kupiga kur hao polisi huenda wakaludhuru maana hawajui/tambua
Kingine polisi vatakavyojikamafleji wanachi wataingiwa hofu hata yuke mwenye nia ya kwenda kupiga kura akiona hivyo haendi tena
Huyu sio yule kijana mwanamitindo kaja na id nyingine?Mods mtuwekee na reaction ya la kati....
hapana mkuu mi ni mwingine nisije mchonganisha yule jamaaHuyu sio yule kijana mwanamitindo kaja na id nyingine?
Dole la kati ni la muhimu sana JF Wanachelewa sana!Mods mtuwekee na reaction ya la kati....
Kawadanganye wanaosinziahapana mkuu mi ni mwingine nisije mchonganisha yule jamaa
Okzitahesabiwa ata hizo chache mkuu kwani miaka yote mnapigaga kura nyote si huwa nisiwachache tu, onyo oktoba natiki nisiguswe, hii kichwa ni wrong number jichanganyeni sasa
Nikuwa tupia ignore tuDole la kati ni la muhimu sana JF Wanachelewa sana!