Naomba radhi wanaJamii Forums wa iq kubwa oktoba nitatiki

ubarikiwe mzalendo,oktoba tunatiki mapema sana!
nashukuru mzalendo ngoja tukawatete hao kula kulala, wanashindwa kujua kugomea uchaguzi si njia sahihi hata trump angegomea uchaguzi asingekua hapo leo
 
Hapana mkuu wajinga kama hawa tunawahitaji kwenye reserch.
sijui nikutukane, au baasi mkuu umeshinda, nmechagua heshima kwako ila siku ukinikita vibaya nisamehe bure mimi mtoto wa mzee kadikolo
 
Nadhani ndo demecrasia yenyewe hyo, wa kutoka na atoke na wakutiki na atiki.

Ambao hatuwataki ni wakutreka watu tu.
 
Kama serikali hii una manufaa nayo au unakula CCM we nenda tu katiki sisi wengine hatuna sababu ya kutiki.
 
Kama serikali hii una manufaa nayo au unakula CCM we nenda tu katiki sisi wengine hatuna sababu ya kutiki.
sawa mkuuu maandamano mema ila niki kuoma hapa jf tena tajua tuhuku andamana
 

Kamwombe Msamaha Baba yako, hatuna mazoea na watu kama wewe
 
Hahahah
 
Ndugu zangu, nje ya mada, je Tambo za Baba Levo uliishia wapi? Samia Samia ni kiboko= wote wanangu, naamini ilimtuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…