Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

Naomba rafu bajeti ya vinywaji kwenye send off au harusi na hasa vinywaji

BWANA MISOSI

Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
39
Reaction score
24
Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
 
Yote haya ni kuhalalisha binti kuliwa na wazazi wake watakuwa wanajua sasa binti yetu analiwa na fulani...

Anyway
Bia 3, maji madogo 3
Kwa watu wasiotumia bia una replace juice 3 na soda 3.
 
Back
Top Bottom